Nazidi kumwelewa Nyerere

Nazidi kumwelewa Nyerere

johnmashilatu

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2010
Posts
1,266
Reaction score
1,755
Nianze kwa kutoa Pole kufuatia kodi cha Monica magufuli.
Hapa Mza hali imekuwa tete kufuatia usafi kubwa ya viongozi walipkwenda chat
Ni zaidi ya saa Moja na robo tesimamishwa kupisha msafara wa hao viongozi.
Wanapita wakiwa ktk mafungu mafungu huku wenzagu na Mimi tukiendelea kusubiri!
Hapa ndio namkumbuka Nyerere ambayo enzi hizo za TRC na KAMATA ambapo viongozi wengi walikuwa wakisafiri kwa pamoja.
Ngoja tuendelee kuwasubiri waheshimiwa wapite ili nasi tufike huko tuendako kwa wakati unaowafaa.
 
Wakati wa Nyerere ilikuwa mnaamshwa Alfajiri kupanga Foleni ya kumpokea Mwalimu Halafu anakuja kupita saa Tano Na robo Asubuhi Halaf Landrover ipo Moto Bati mnabaki kubishana kapata landorover ipi?
Maisha yale Ni zaid ya Ujima
 
tumeichagua wenyewe " hatunywi sumu hatuji nyongi
Tumeipenda wenyewe wavimbe wapasuke
Wacha wasome nambaeeeh ccm mbele kwa mbeleèeeee....mbeleee kwa mbeleeee

Alinseremaaa
Magufuĺi nseremaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom