Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

kiwatengu

Platinum Member
Apr 6, 2012
17,683
14,868
Hebu kama hujawahi kuupanda na huna tatizo lolote lile kiafya...Do it!!
Kila mtanzania na Mwana Afrika Mashariki yeyote yule anastahili kufurahia....
91ec716075860fe8ad259a8c124c998b.jpg

b8052b5a9c74c50341ead5476e449827.jpg


3777ab71835c4302590cf29afafc9376.jpg

7d255c687d1d51ca77c79c629b4a76ff.jpg

b1f77688bbfb6edc84a95bc8ab497638.jpg

c15203d7ccabe6612ccc81e22c8ff956.jpg

54109ac1229ed2f02eae829c3101743d.jpg

93e1377f45ab6dc46fe62ef22d1528bc.jpg



Wadau!!
Kutokana na Maoni na maombi ya watu wengi, ni kweli kuupanda mlima Kilimanjaro, kwa mtanzania kama mtu binafsi ni gharama sana.

Niliwahi kuja na wazo humu la kujikusanya watu mbalimbali wenye nia yakupanda Mlima Kilimanjaro kwa lengo lakupunguza gharama, zoezi lile alilichukua Mike Mushi(jamiiforums) kwa lengo yakuliboresha zaidi lakini sikujua limefikia wapi mpaka sasa. Bado tunaweza kuandaa huu mpango ukakaa vizuri. Na hili likafanikiwa...
Stay tuned nikizungumza na Mike Mushi nitarejea kwa mchakato kamili.
 
Sasa usiishie kuupenda wewe mwenyewe, kwa uzuri wa hizo picha, tengeneza website/post cards uutangaze jinsi wewe unavyojihisi umependezwa na kila kitu kuuhusu, ujiandae watalii watakapo kumiminikia kwenda na kuwaonesha uzuri wa Mlima wetu.
Nimezipenda picha!
 
Back
Top Bottom