Huwa najiuliza sana hili swali.… life after death ! Nini hufuata baada ya mtu kufa, kuoza na kugeuka udongo kabisa huko ardhini ?
Hivi tunajua kwamba, hivi vyeo vyetu, nafasi zetu, mapesa yetu...
Kuna huyu bwana alikuwa akihojiwa na ITV asubuhi ya leo tar 23 July akijitangaza kuwa ana taasisi inayojihusisha na kuunganisha watu kusoma katika nchi za ulaya na amerika. Nimemsikiliza kwa...
Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) inamshikilia mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam, Mohamed Hussein Gulam (48) kwa tuhuma za kukutwa na gramu 300 za dawa za...
Kati ya vifurushi vilivyokuwa vinapangiwa foleni kubwa maeneo ya chuoni basi kifushi cha Vodacom.
Walikuwa wanatoa
Kwa Sh 300 unapata dakika 30 sms bila kikomo na Mb 350 ....Kwa siku
Kwa Sh...
Gari lenye namba za usajili STK 7488 mali ya Wizara ya maji na umwagiliaji lililokua kwenye msafara wa Waziri wa Wizara hiyo limepinduka na kusababisha kifo cha mtoto mmoja wakati dereva akijaribu...
Natarajia kuja Arusha kesho. Nitakua siku 3. Nahitaji wenyeji wa huko mnisaidie pa kufikia.
Namaanisha Lodge au Hotel ambayo iko Standard. Bajeti yangu ni 25,000 mpaka 30,000 kwa siku. Isiwe...
Natarajia kuja Arusha kesho. Nitakua siku 3. Nahitaji wenyeji wa huko mnisaidie pa kufikia.
Namaanisha Lodge au Hotel ambayo iko Standard. Bajeti yangu ni 25,000 mpaka 30,000 kwa siku. Isiwe...
Natarajia kuja Arusha kesho. Nitakua siku 3. Nahitaji wenyeji wa huko mnisaidie pa kufikia.
Namaanisha Lodge au Hotel ambayo iko Standard. Bajeti yangu ni 25,000 mpaka 30,000 kwa siku. Isiwe...
habari wadau.
nje ya nyumbani kwangu ubungo makuburi maji yanamwagika.. 3 days.. dawasco wamepigiwa simu hawakuja.. bahati nzuri leo wamepita na bajaj yao.. wakaambiwa maji yanavuja hayo yanaleta...
Kama kichwa cha habari kilivyo na baadhi ya nyuzi zangu za nyuma zilizoegemea katka ujasiriamali.
Leo kuna mdau kanitonya kwamba huko nchini msumbiji magongo ya kutengenezea viatu yapo mengi sana...
Wapendwa mko salama?
Aisee napenda kuwapongeza Jeshi letu la Polisi kwa kuwadhibiti hawa jamaa wa meseji za tuma pesa mara mganga toka sumbawanga n.k
Binafsi Mimi ni mhanga wa wizi huo.
Hebu tupia...
Hivi Sheikh mkuu kwa elimu uliuokuwa nayo una lazimiswa kabisa kutuburuza kuswali Eidlhaj Jumatano Wakati Unafahamu fika ya kwamba kesho ndio Eid Dunia Nzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Na Mwandishi Wetu
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, amesema kuanzia sasa mawakili walioko kwenye ofisi ya Mwanasheria Mkuu na wanasheria wote katika Wizara, Mamlaka za...
Msaada jameni kama ilivo kwa kawaida akuna binadamu wa Leo mwenye uwezo wa kuishi ata miaka mia mbili. Je ni mda gani inachukua MPAKA dunia kuwa na watu wapya wote.
Sent using Jamii Forums...
MKAZI wa Mabibo Jeshini, Dar es Salaam, Gabriel Msuya (19), ambaye alijeruhiwa kwa risasi na askari wa Jeshi la Magereza wiki iliyopita, amelalamikia kutelekezwa na mamlaka zilizomjeruhi, huku...
Wamevuana nguo! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Shehe Juma Ahmed Kikwesa, mkazi wa Lugala mkoani Morogoro kumtuhumu Shehe Ahmadi Said Khairallah kuwa anamtongoza mkewe aitwaye Rehema Said...
GEITA: Mwalimu wa shule ya Sekondari ya Bugando Kata ya Nzera wilayani Geita mjini hapa, Noel Seleman anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukutwa na denti wa kidato cha kwanza chumbani...
TARURA wamejitahidi kukarabati barabara kwa kiwango cha changarawe ila kero ni watu kuziharibu kwa kuweka matuta bila mpangilio maalum. Kila mtu anajiwekea kwake. Matuta haya yanatuharibia magari...
Hizi mamlaka na tozo za huduma ndo kusema bill haitoshi au tunapigwa?kwani NJOMBE maji ..kuna ubaya gani mkicharge unit 1 sh 2914/=?
sehemu nyingine tupeni uzoefu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.