Chukulia sakata la makontena kama mfano tu. Halipendezi kama. Mambo yetu mengi tu.
Kwa uzoefu wangu Mdogo Ingawa niko Ulaya Sasa more than 10 years, Watz hatupendani. Wengi tumefika tulipo kwa...
Naomba kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maana hati niliyokuwa naipigania kwa muda mrefu hatimaye imetoka.
Sasa naona hati hii niliyopewa ni ya takribani miaka 30 ambayo ni michache sana...
Nje Ndani - Inspekta Haroon
Imekaa Vibaya - Kali P
Kunguru Hafugiki - Dudu Baya
Ndege Tunduni - Wanaume
Madaraka ya kulevya - Weusi
Zilipendwa - WCB
Wasalimie Kigoma - Kiba
Sent using Jamii...
Kwa kuzingua mara zote zile zilizopita na bado linadunda huku matawi mengine ndio wakichezea panga , na mara hii tena waziwazi imeonekana tawi linakatika baada ya aliyepanda mti kuona sasa tawi...
KANUNI YA ADHABU MASHULENI:
Kifungu cha 61(1)(v) Cha Sheria ya Elimu Sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002, kinampa mamlaka waziri wa Elimu kutunga kanuni za masuala mbalimbali zitakayokidhi...
Natabiri bar na kumbi za starehe kujaa ,beer na na nyama kuliwa kwa wingi kusheherekea anguko la mtawala mbovu kabisa katika historia ya TZ mwenye majivuno,dharau na haiba za mtesaji Malyamungu wa...
Kijana Daudi,kumbuka hata kamanda kova siku hizi analalamika,watu wanakupenda ukiwa na power sio kwamba wewe ni special sana,ukisalimika safari hii badilika,acha rohombaya,acha unafiki,heshimu...
Habari za usiku wana jamii forum.
Mungu ni mwema nashukuru kwa uzima na afya. Kwa wagonjwa kama ommy dimpoz pole sana,msijali mtapona.Nakukubali sana ommy dimpoz kwa pozi, mijimbo yako kama...
Habari za usiku wana jamii forums.
Ni kwa neema tu tuko hai, si kwa uwezo, akili wala nguvu zetu.
Siku ya jumatatu vijana wa ccm walikuwa ofisini kwetu hapa wakiwa na kikao chao. Sijui agenda ni...
Dar es Salaam. Mshtakiwa Harbinder Sethi ambaye anakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ameeleza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa ana miezi sita sasa hajawahi kuonana na mke wake...
Nimekua mfuatiliaji wa habari na makala mbali mbali toka tovuti ya BBC swahili kwa zaidi ya miezi sita sasa. Leo nimetahamaki kuona habari ambayo imechapishwa na chombo kikubwa kama hiki ikiwa na...
MKUU wa Polisi wa Wilaya (OCD) ya Bunda, E. Kamuhanda, ameingilia kati sakata la mwananfunzi Peter Richard (13) anayedaiwa kuvunjwa mkono na mwalimu wake baada ya polisi kituo kidogo cha Kibara...
Wakati niko mdogo, nlikua napenda sana Mpera. Mti huu ulikua unanifurahisha sana kutokana na matunda yake adhimu. Nafkiri wengi humu ndani tunaelewa utamu wa mapeerra hususan yale ya kizungu au...
Kumekuwa na sikitiko kubwa kwa baadhi ya vikundi vya kigaidi ambavyo vinajulikana kwa majina ya kiisilamu kuwa na vitendo vichafu ambavyo hata uisilamu unakataza.
Mfano jamaa wa alqaida wanaweza...
Watu wawili ambao wahakutambulika mara moja majina yao wamekutwa wamekufa kwenye daraja la Nyantorotoro nje kidogo ya mkoa wa Geita, huku wakiwa na chupa za bia, fedha na pikipiki inayodhaniwa...
Habari za watoto wa kike kuuawa kikatili huko Mbeya zinatisha. Kuna jamaa alinambia hiyo hadithi juzi lakini sikuamini. Alisema watoto 7 wa kike walikuwa tayari wameuawa baada ya kubakwa. Na...
Ndugu wana JF,naomba kwa heshima na taadhima niwasilishe mapendekezo yangu kwa serikali kupitia jukwaa hili kuhusiana na ujenzi wa kituo kipya cha treni ya STANDARD GAUGE pale eneo la STESHENI...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Chunya imemhukumu kifungo cha miaka thelathini jela Paul Karani(19) mkazi wa kijiji cha Shoga Kata ya Sangambi Tarafa ya Kiwanja Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya...
Hello wanajamvi.
Ninahitaji msaada ipi kampuni nzuri ya ulinzi hapa Tanzania.
Kuna kampuni mpya ya jamaa yangu inahitaji ku hire Security Co ila hjawa certain sana aitumie ipi kwa zilizopo...
Juzi hadi leo nimeyaona mengi na nimesikia mengi kutoka kwa hawa ndugu zetu weupe, tuna mkutano wa kimataifa hapa Julius Nyerere conference center dar es salaam, haya majengo hayana miaka 8 toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.