nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Kijana Daudi,kumbuka hata kamanda kova siku hizi analalamika,watu wanakupenda ukiwa na power sio kwamba wewe ni special sana,ukisalimika safari hii badilika,acha rohombaya,acha unafiki,heshimu watu acha dharau
Ona sasa washkaji wako wanavyoanza kukukataa,Babu tale keshafuta ile post yake ya makontena aliyoweka na watoto wa shule wanaokaa chini kutetea ma furniture yako
Mwingine huyu hapa, na wengine wanasubiria tu tamko rasmi wafungue champagne