Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimesoma habari ya kusikitisha sana kutoka shule ya msingi kibeta iliyoko manispaa ya Bukoba kuwa Mwalimu amempiga mwanafunzi mpaka kumuua mbele ya walimu wenzake, mbele ya wanafunzi. Sina tatizo...
32 Reactions
438 Replies
34K Views
Mwili wa kichanga cha jinsi ya kike kinachokadiriwa kuwa na umri wa siku moja, umekutwa ndani ya boksi ukiwa umetelekezwa kwenye kichaka pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza-Bukoba, katika mtaa wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Kaimu mganga mfawidhi wa hospitali ya rufaa ya mkoa wa Ruvuma Dkt. Yona Mwakabumbe anathibitisha kupokea mwili wa marehemu mmoja na majeruhi sita huku majeruhi watano raia wa Ethiopia wakitibiwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mganga mfawidhi ametoa majibu sahihi baada ya mtoto aliyefariki kwa kuchapwa viboko na mwalimu wake huko Bukoba Mganga huyo amesema mtoto huyo alikuwa na majeraha tofauti na yale aliyokuwa...
3 Reactions
84 Replies
12K Views
Ndugu wanaJF, Ajali imetokea maeneo ya Mdaula Mkoani Pwani Kilomita 30 kutoka Chalinze. Gari la Kampuni ya GSM limegongana na Tipa uso kwa uso na yote mawili yakalipuka kwa moto
0 Reactions
12 Replies
5K Views
*Breaking News* Mabweni ya mihayo secondary mkoani TABORA yanawaka moto muda huu, bado chanzo cha moto huo hakijajulikana. Video inagoma ku upload! ======= Mabweni mawili yaliyokuwa yanatumiwa...
2 Reactions
31 Replies
7K Views
Serikali imetangaza kuvirudisha vituo vya TV za ndani kwenye vin'amuzi baada ya kuondolewa kwa muda mrefu kutokana na matatizo ya kimkataba Vituo hivyo jumla yake ni 34 na vitaonekana kwenye...
0 Reactions
65 Replies
13K Views
Wakuu naomba kujulishwa kwa anayejua
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Kuna ziara zinafanywa na maofisa wa cwt kwenye matawi yao yaani mashuleni. Agenda yao kuu ni kutafuta maoni ya wanachama katika kuiwekea kiraka kama siyo viraka katiba yao baada ya walimu kujiunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
WAKATI ikiwa imezoeleka kuwa baadhi ya walimu wa kiume huwarubuni wanafunzi wao wa kike na hata kuwaharibia kabisa ndoto zao za kielimu kutokana na kuwapa ujauzito, hali imekuwa tofauti mkoani...
8 Reactions
100 Replies
25K Views
Wanabodi nimekuwa nafuatilia sana hili sakata la ving'amuzi kuzuiwa kirusha matangazo lakini binafsi naona kuna zaidi ya sheria nyuma yake. Kwa mfano wanadai kuwa chaneli zote zilizosajilowa kwa...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ukitokewa na mwenye mamlaka(yeyote yule ambaye unaamini ana mamlaka na uhai wako) na akakuambia anaweza kukwambia kimoja kati ya hivi; 1. Siku utakayopoteza uhai(siku ya kifo) 2. Namna au jinsi...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Tunaposema serikali imekopa au serikali haina hela, je serikali yenyewe haiwezi chapisha noti nyingi na ambazo ni halali ili iwe na pesa nyingi na iweze kuwa serikali tajiri? Ni nani anawazuia...
3 Reactions
66 Replies
6K Views
Kwamba usiku mmelala, halafu mnaamka asubuhi na kukuta mwenzenu amepotea t, hajulikani aliko. Mamlaka zinapelekewa taarifa kwamba ndugu yetu, jirani yetu, mfanyakazi mwenzetu amepotelea...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Tigo nimeshidwa niwaweke kundi gani, walichonifanya nimewaelewa. Jana usiku nimenunua vocha shs 2,000/-, nikajiunga kifurushi cha kupiga mitandao yote cha shs 1,000/-, nikaongea na simu moja kama...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Salamu Waungwana na Poleni na kazi. Ninaomba kusaidiwa namba za simu na email ya kampuni ya mchezo wa kubahatisha ya BIKO. Natanguliza Shukurani.. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kama kixhwa cha habari hapo juu kinavyosomeka, Ikitokea Mwalimu mkuu au mkuu was while ana tgts d na Mwalimu was kawaida ana tgts h Kwa mfano, Je? Mkuu wake anaweza kumtuma kazi au kumwajibisha...
0 Reactions
5 Replies
736 Views
Najua wengi mnafahamu kwamba hapa nchini kuna mamlaka nyingi tu. Katika kufuatilia kwangu; ni kwamba mamlaka ndo zinazorotesha maendeleo kwenye sehemu / nyanja zinazohusu mamlaka hiyo. Nianze na...
0 Reactions
2 Replies
653 Views
Kenya imezindua SGR ambayo imegharimu 3.5 bn US$ kama mkopo toka Uchina. Wapinzani wa mradi huo nchini Kenya na wana uchumi duniani/world bank wanadai hakuna biashara Kenya itafanya na reli hiyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umuofia kwenu! Kwenu! Wadau nimekuja hapa kuomba mwongozo juu ya taratibu za kupata kibali cha uvunaji miti ya asili shambani kwangu. Nimenunua shamba wilaya ya Kilindi na niko mbioni...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Back
Top Bottom