The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habari za usiku wana jamii forums.
Ni kwa neema tu tuko hai, si kwa uwezo, akili wala nguvu zetu.
Siku ya jumatatu vijana wa ccm walikuwa ofisini kwetu hapa wakiwa na kikao chao. Sijui agenda ni nini manake mie sio miongoni mwao.
Nilikwenda site,wakati narudi nao ndo walikuwa wanajipanga kuingia ukumbini.Walikuwa wamejaa njee pale wakiimba na kucheza.
Mteja niloenda nae site kwake akanishusha.Nikashuka kuelekea ofisini kwangu,wakati naenda nikakutana na boss flan kwenye chama huko;akanambia The iron Batterfly hujambo?muda hatujaonana?Nikamjibu mkuu ni majukumu tu ndio yametutenganisha ila tuko pamoja.Basi baada ya soga mbili tatu,akaniuliza we nyumbani wapi?Nikamtajia.then akaniuliza jimbo gani manake huo ni mkoa.
Nikamwambia mkuu,naomba unipe muda niwasiliane na wazazi wanambie.akajibu sawa fanya hivyo halafu unipe na majina yako 3.Nikamwambia mkuu ila mie bado kama mdogo?Akanijibu, mdogo?we niletee majina ya ulikozaliwa na majina yako matatu.Akaendelea kwani hutaki ukurugenzi?nikacheka halafu nikamwambia mkuu,vyeo nataka ila naona kama nahitaji kujifunza kidogo.Alinishangaza jibu lake la mwisho alinambia wewe umekuja hapa nakuona,una miaka 5 nakuona,sasa unataka uzoefu gani?fanya nilivyokwambia.akaondoka
Toka juzi nawaza nipeleka au niachane nayo hayo;manake mi si mwanasiasa na siwazi vyeo vya kisiasa ila ingekuwa vya kitaalamu ningekuwa nishamkabidhi vyeti na cv zamani sana.
Sent using Jamii Forums mobile app