Mti wa Mpera.....

Mti wa Mpera.....

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakati niko mdogo, nlikua napenda sana Mpera. Mti huu ulikua unanifurahisha sana kutokana na matunda yake adhimu. Nafkiri wengi humu ndani tunaelewa utamu wa mapeerra hususan yale ya kizungu au yale mekundu ndani.......

Siku tegemea hata siku moja kuuchukia mti wa Mpera ila baada ya kufanya msala wangu wa kwanza wakati ndio nakua akaniagiza nikakate fimbo ya mpera. Sasa kwakua mama alikua hajawahi kuniadhibu, sikua na wwasiwasi, tena nikaenda kukata bonge la fimbo la mpera af mwisshoni nkaachia katawi flani hivi yaan ilikua bonge la fimbo.

Nilikua na uhakika mama hawezi nichapa atanitishia tu. Nilipompelekea l, alifurahi akaniambia tuongozane nae chumbani Kwake then akaloki kitasa cha mlango. Bado sikua na wasiwasi nlichkulia poa tu, aisee kilivyoanza kunuka nilihisi nipo ndotoni maana sio kwa fimbo zile za hovyohovyo ( aisee big up kwa wa mama wa zamani, walijua kuchapa aisee ). Kipigo kilidumu kwa dakika kadhaa had ile fmbo ilipokatika ndio nkaruhusiwa kutoka nje ya chumba tena nuliokote uchafu wa fmbo.

This was the first time. I had several beatings later ila tukio moja hivi ndio lilisababisha nikawasha chain saw yet nakuukata mti wangu mpendwa wa mpera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigieni makofi tafadhali......1.2.33333333333333333333333333
 
Back
Top Bottom