Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katika kile kilichoelezwa kuwa ni kijenga mahusiano mema na pia kuendeleza michezo, timu za mpira Jeshi la Magereza na Polisi leo zitakutana kugombea Mbuzi mnyama. Mbuzi huyo ametajwa kuwa wa...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
1.Elimu 2.Maradhi 3.Umaskini Kukosa maji kununua ndege ni sawa kurudia uchaguzi kukosa madawa na maabara za kutosha ni sawa kipaumbele n nn amakwl ipo siku mtakosa ahadi na ilan zenu sijui...
0 Reactions
2 Replies
513 Views
Sisi kama Wananchi wa Vijiji Sita vilivyouziwa Shamba hili tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. John Pombe Magufuli kwa kumnyang'anya Ndugu Otieno Igogo HATI ya shamba...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunafundishwa kuwa hakuna dhambi isiyosamehewa kwa Mungu hata kama iwe nyekundu kama damu. Mpaka mtu achukuwe uwamuzi wa kuwa mtawa lazina sehemu hii ya msamaha wa dhambi inaifahamu vizuri kuliko...
2 Reactions
48 Replies
6K Views
Niaje wadau,niko Lushoto leo siku ya pili,licha ya kuwa huu mwezi August/Septemba si msimu wa baridi but ishu niliyokutana nayo kama ndo hivi huo mwezi june sijui inakuaje cheki nyuzi joto hilo...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari za ijumaa mabibi na mabwana katika jukwaa hili? Mara nyingi nimekuwa nikijiuliza swali hili bila kupata majibu, naomba wenye uelewe watueleweshe ili kwamba kama kuna wengine wenye kutaka...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Nimeiona fb hii sent using samsung galaxy s8
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Twenty seven Tanzanians will be deported following their arrest in Mombasa as part of the nationwide crackdown on illegal immigrants. Security agents in the county handed them over to the...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ukifika maeneo mbalimbali ya vijiji nchini Tanzania utakutana na maafisa watendaji wa vijiji hivyo ambao wengi wao ni wazee pia hawana utaalamu wowote kuhusu maendeleo katika jamii. Hakuna...
0 Reactions
4 Replies
688 Views
Nimesikia na kuona hii show ya wabunge M.city ya kuchangia ubovu wa vyoo then nimekaa na kujiuliza hili swali; 1)Kwa upande wa wazazi ambao wanao wanasoma kwenye hizi shule inaqezekanaje kwako...
0 Reactions
1 Replies
788 Views
Kabla na baada ya ujio wa makao makuu ya nchi na kupandishwa hadhi ya Dodoma kuwa jiji, ulanguzi wa ardhi ya wenyeji wa mkoa huu unahatarisha maendeleo ya watu hao sasa na siku za usoni ikiwa...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Kwa hili sakata la makontena linaloendelea kwasasa hapa nchini na kauli ya leo jioni ya Rais Magufuli, tabiri nini kitajiri kwenye kurasa za mbele za magazeti ya kesho ijumaa tarehe 31/08/2018...
3 Reactions
67 Replies
8K Views
Wanajamii forum natumai mmekuwa na asubuhi njema Kwa wale wote waliokoshwa na utendaji wa mhe waziri wa TAMISEMI SULEIMAN JAFFO naomba tutumie uzii huuu kueleza. Ni wapii amekukoshaa Mimi binafsii...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Neno lililomjia nabii Mogul enzi za mfalme jiwe. Hata ifikapo mwisho wa juma Mfalme huketi na kutafakari juu ya watenda kazi wake kama ilivyo desturi yake. Tazama hata siku ya pili yule mkuu wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwalimu wa miaka mingi na mzoefu, Richard Mabala, viongozi wengi wamepita mikononi mwake, mwandishi wa vitabu maarufu ya masomo kikiwemo Mabala the Farmer na Hawa the Bus Driver ambavyo wengi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu mlioko huko madarisalaamu vipi mnada wa makasha ya Dogo Paul Dogo tundu mpaka baba anajua mnada tuliambiwa ni leo yanapigwa mnada nataka nami niambulie sofa la kisasa ninunue ni saa ngapi Wakuu
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi hapo awali nilielewa kuwa maana ya jipu ni mtu au kikundi cha watu ambacho kinafanya mambo kinyume cha sheria kwa ajili ya manufaa ya watu binafsi, au kutokana na uzembe wao kukwamisha taifa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au...
0 Reactions
5 Replies
861 Views
Jana niliskia kuwa tcra wameamuru local channels zionyeshwe bure kwenye ving'amuzi vya startimes, ting na continental yani leo tar 21 (kuanzia).. Cha ajabu leo nilipowasha decoder yangu ya...
5 Reactions
77 Replies
14K Views
Napenda sana kuishi maeneo ambayo kuna Masela wengi wa Kutukuka ili nikaishi nao kutoka hapa ninapoishi sasa ambapo kuna Mabishoo na Wanabana pua Watupu ambao Kwangu Mimi naona hawana faida Kwangu...
10 Reactions
94 Replies
16K Views
Back
Top Bottom