Nini kinatokea hati ya kiwanja inapoisha muda wake?

Nini kinatokea hati ya kiwanja inapoisha muda wake?

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Naomba kwanza kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa maana hati niliyokuwa naipigania kwa muda mrefu hatimaye imetoka.

Sasa naona hati hii niliyopewa ni ya takribani miaka 30 ambayo ni michache sana. Nilidhani hati zinatolewa kwa miaka 99.

Hilo moja, swali langu la pili, baada ya muda huo kufika, unaweza kurenew automatically au kiwanja kinarudishwa serikalini kuanza mchakato upya?

Ni hayo tu.
 
Nadhani una renew tuu... Uko dodom nini mkuu maana hati za Dom ndo za miaka iyo....
 
Nadhani una renew tuu... Uko dodom nini mkuu maana hati za Dom ndo za miaka iyo....

Ni hapa hapa Dar, nimeshangaa. Itabidi nifuatilie au nisikilize wajuzi wa JF watakavyosema.
 
Back
Top Bottom