BBC Swahili Haririni tena hii habari

CRYPT

JF-Expert Member
Jan 26, 2014
328
673
Nimekua mfuatiliaji wa habari na makala mbali mbali toka tovuti ya BBC swahili kwa zaidi ya miezi sita sasa. Leo nimetahamaki kuona habari ambayo imechapishwa na chombo kikubwa kama hiki ikiwa na makosa ya kiuandishi katika aya ya kwanza. Habari hii imekaa zaidi ya masaa mawili ikiwa na makosa hayo
Najua hua mnapita humu jukwaani, haririni habari hii.
QuickMemo_2018_08_30-18-45-53.jpg

QuickMemo_2018_08_30-18-46-51.jpg
 
Back
Top Bottom