TAARIFA MUHIMU KUTOKA OFISI YA RC MAKONDA
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam inashangazwa na taarifa zinazo sambaa mtandaoni juu ya kuwepo kwa Mkutano wa Mkuu wa Mkoa, Mh. Paul Makonda na...
Wakuu nimetafakari hili jambo baada ya juzi kwa bahati mbaya kujikuta nipo katikati ya viongozi wa serikali wa mitaa na wanachama wa Ccm eneo la Chanika Jimbo la Ukonga Dar es salaam waliokuwa...
Habari,
Hem tujadili haya maneno ambayo sijui ni ya hekima au ya kuzodoa kutoka kwa Mb Nape Nnauye akisema "Ukiona barabara imekuwa ngumu,usikate tamaa na kuacha safari
Badili viatu na usonge...
Kufuatia agizo la Tcra na waziri hatimaye channels za bure zimeanza kuonekana bure
King'amuzi changu cha startimes local channels zimeanza kuonekana bure ambazo ni Itv, startv, tbc,channel...
Amani iwe nanyi wana JF.
Binafsi sipo dar na nina uhitaji wa kusikiliza neno la mtumishi wa Mungu bwana GWAJIMA hapo siku ya jumapili.
Hivyo basi naombeni namna au mbinu zipi nitumie ama link kwa...
Ni swali ambalo muandishi wa BBC alisahau kumuuliza ndugu Lissu kuhusu dereva wake ambaye yupo naye huko hospitali Ubeligiji.
Je, Lissu atakaporejea nyumbani dereva ndio atakuwa amezamia moja kwa...
Mungu awape nini tena?fungeni na kuomba yalipiwe kodi,maisha magumu sana.Nasema tena hongereni maana huku wenzenu hali tete!fungeni na kuomba vinginevyo yananunuliwa na team B.
Katika historia yetu wazungu pamoja na waarabu katika vipindi tofauti walipokuja Africa waliwachukua watu kutoka Africa na kuwapeleka katika nchi zao kwa ajili ya kufanyishwa kazi na mambo mengine...
Muheshimiwa mkuu wa mkoa mimi ni mwalimu wa mkoa wako kuliko kutuletea hizo sofa bora utujengee madarasa. Mwaka huu wanafunzi wa kidato cha kwanza wanakaa 80-85 kwa chumba na ni shule ya mjini...
Mimi katibu Wa wanaume; kwa tangazo hili nawasihi wanaume wenzangu, Afe kipa Are beki Tudumishe kurinda Aman, Popote uonapo kuna mtu anaonewa Pambana kuhakikisha unaokoa, Acheni Uoga ndugu zangu...
Moto mkubwa umeteketeza kabisa hotel za Whitesands na Sunset zilizopo katika ufukwe wa Nungwi huko Visiwani Zanzibar.
More updates to come...
Source: ITV
1. Seychelles hawahitaji Visa kuingia katika nchi 129
2. Mauritius hawahitaji Visa kuingia katika nchi 125
3. South Africa hawahitaji Visa kuingia katika Nchi 94
4. Botswana hawahitaji Visa...
Kiukweli mnanisumbua sana kwani mmenifanya nishinde tu na Taulo na Mswaki wangu mdomoni mpaka Saa nane ( 8 ) hii huku nikizunguka zunguka tu Sebuleni Kwangu kusudi nisikose matangazo yenu ya...
Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Bw. Ndodi Galamji, kwa tuhuma za kumiliki kikundi cha waharifu kilichopata umaarufu kwa kuitwa 'Jeshi la Sanjo' kilichokuwa kimejiwekea miliki yake na...
Ukiwa mzazi, hutampenda tu mwanao bali pia utamtakia heri. Hata mimi, sitaki mtu anipende tu, bali nimwone pia akinitakia heri.
Upendo wenye kutakiana heri ndiyo hasa upendo wenyewe. Ni upendo...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amewatoa nje Makamanda zaidi ya 30 kwa kosa la kutaja Jeshi la Zimamoto bila kumalizia ‘na Uokoaji’ ambapo amesema hilo jeshi lao halitambui.
Hali...
Sijui kama hizi Honi Za Daladala aina ya Eacher ni rafiki wa mazingira!
Ki ukweli wamiliki ingepaswa wabanwe wazibadilishe, nahisi nguvu yake ni zaidi ya mahitaji na ni hatari kwa afya.
Leo kuna...
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imemkataa mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dk. Kien Mteta, aliyeteuliwa na kanisa hilo kushika nafasi ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Hospitali hiyo...
Utapeli ni janga ambalo limeumiza na linaendelea kuumiza watu wengi sana katika jamii. waathirika wa utapeli ni watu wa kada, jinsia na wazifa tofauti katika jamii bila kujali uwezo wa kiuchumi...
Yanasemwa mambo mbalimbali kumhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda. Ni juu ya hatma yake kama Mkuu wa Mkoa kufuatia sakata lake la makontena yanayoshikiliwa na TRA ambayo yatapigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.