Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umuofia kwenu! Kwenu! Wadau nimekuja hapa kuomba mwongozo juu ya taratibu za kupata kibali cha uvunaji miti ya asili shambani kwangu. Nimenunua shamba wilaya ya Kilindi na niko mbioni...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Wadau wote wa JF Mnakakaribishwa kwenye Sikukuu za Vibanda maarufu kama MAKAMBI kwa mwaka 2018 katika mitaa ifutayo: 1. Mtaa wa Tegeta DAR ES SALAAM- Makambi yatafanyika katika Kanisa la SDA...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ugonjwa wa UKIMWI unasalia kuwa janga duniani hasa kwa mataifa mbalimbali ya Afrika. Takwimu kutoka Shirika la afya duniani WHO zinaonesha kuwa asilimia 70 ya watu Kusini mwa jangwa la sahara...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, Mimi ni wakala wa hizi kampuni zetu za simu..hivyo najihusisha na hii biashara ya kutuma na kutoa pesa.... Kulingana na hali ya uchumi ilivyo kodi ni nyingi mnoo kwa mfano...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Tanzania tunapambana na adui ujinga. Wapambanaji wetu wa mstari wa mbele ni walimu. Wapambanaji hawa ndo serikali haiwajali. Hivi kweli tunategemea mapambano hayo kufanikiwa? Wapambanaji wa Bukoba...
2 Reactions
5 Replies
892 Views
Wadau wa jf jana nilikua naelekea mbezi nilianzia safari yangu Mwenge saa kumi na nusu jioni, baada ya kuvuka tu taa za Ubungo nikakutana na jam ya ajabu gar haziendi mbele wala nyuma.Nililala...
2 Reactions
98 Replies
15K Views
wakuu! nimekuwa kwa muda fulani nikitembelea mikoa lakini watu dar wanastress sana kuanzia kutafuta mpaka kula...kila kitu ni shida na wanalazimisha furaha... leo niongelee makazi unakuta mtu...
21 Reactions
110 Replies
14K Views
Kwa siku za hivi karibuni katika jiji letu pendwa la chipsi kavu(dar) kumekua na ongezeko kubwa la watu wenye matumbo yaliyojazana ovyoo maarufu kwa jina kitambi..ipi siri kubwaa ya vitambi...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Aisee ukisikia kuvurugwa ndio huku nina mwezi na kitu hivi sijatazama habari kupitia tv kiaina ni kama nimerudishwa nyuma miaka 20!yaani nimerudi tena kusikiliza habari kupitia redio Dw mchana na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi sio mtumishi wa umma.. Ila naandika tu jinsi nilivyogushwa na ndugu yangu aliyeomba kubadilishiwa kituo cha kazi.. Naona jinsi anavyoteseka kusubiri majina eti kisa anasubiri TAMISEMI mtoe...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Hivi wakuu kwanini mzee mengi na ipp media walismua kuitelekeza digitek?, mzee mengi aliona nn???
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MTANDAO wa Kudhibiti Madhara ya Matumizi ya Pombe (TAAnet) umeeleza kuwa matumizi makubwa ya pombe ni chanzo kikubwa cha matatizo hasa ugomvi na mifarakano katika familia. Aidha mtandao huo...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Binafsi nikiangalia channel za wanyana nafurahi sana kumwangalia Penguin. Wako very intelligent wanafanya mambo yao kwa akili sana na wanaonekana wajanja wajanja sana( wanafurahisha) .Maisha yao...
4 Reactions
44 Replies
4K Views
Kila mahali duniani ukishuka tu, pembeni kuna bango la mnyama kitimoto. Hasa maeneo ya vilevi ndo taabu kuliko. Hapa Tanzania kila mtaa kuna vijiwe vya kitimoto zaidi ya 20 nchi nzima. Si...
8 Reactions
56 Replies
7K Views
Mwalimu wa Shule ya Sekondari Engusero wilayani Kiteto, mkoani Manyara, Henry Michael (30), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kiteto kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wa Kidato cha pili...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Hivi ving'amuzi ndo vya kizalendo nchini hususan mlionunua digiteck nadhan mnafaidi sana hongereni Ila continental mkirekebisha mitambo na kila kitu kikikaa sawa mtauza sana Hivi digiteck wana...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazee wa fursa tupo, Nyie diaspora, ni vitu gani (bidhaa, huduma) ambazo huko mnakoishi vipo ila bongo havijafika?? Tajeni zile ambazo ni consumables, ambazo hata bongo zaweza kuwa consumed.
1 Reactions
80 Replies
7K Views
  • Closed
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa. Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
kama kichwa cha habar kinavyojieleza. nilipoteza simu siku kadhaa zilizopita.sasa nmepata simu mpya lakini kila nikijaribu kulog in kupitia jf app nashindwa maana haileti option ya kuingia
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tabora. Meneja wa Benki ya Posta tawi la Tabora, Boaz Lunyungu, mhasibu wa benki hiyo na mfanyabiashara maarufu mkoani hapa wamehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Tabora kifungo cha miaka mitano...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Back
Top Bottom