WAZAZI MMEKUWA KIMYA AMJUI MMEANZA KUFANYISHWA BIASHARA ZA RIM PAPER NA HIZI SHULE ZETU
UNATAKIWA KUPELEKA RIM MARA MBILI KWA MWAKA
RIM MMOJA 12" 000*2
24" 000
SHULE NZIMA WATOTO WAKO 300...
Je, pale Tazara na Ubungo panajengwa flyover au panajengwa Interchange roads?
Je, kwa Karne hii pamoja na ukuaji wa mji panatakiwa kujengwa interchange au flyover?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una safari ya kupitia maeneo hayo ukielekea Uwanja wa Ndege au kwingineko, fikiria kutumia njia mbadala.
Kwa maelezo ya wadau, hata Kwa Nyerere - Morocco hapatembei pia!
Wadau tusaidiane...
Habarini wakuu! Poleni na majukumu ya siku.
Kitimoto kila kona ya nchi lazima umkute. Si vijiwe, si viringe, si bar, si grocery na si hotels.
Tumeshindwa kuthibiti kweli?
Tujitafakari.
Sent...
Habari wana jamvi,
Binafsi juzi nilienda katika maabara moja ili kufanyiwa vipimo, ila alichoniandikia doctor binafsi nilishindwa kukielewa kutokana na jinsi alivyouandika mwandiko wake katika...
Ngoja niwarudishe nyuma miaka kadhaa. Ni hivi, kipindi tajwa nilikuwa na mazoea ya kufanya mazoezi ya jogging kutoka upanga - kariakoo - Stesheni - posta - Diamond I jubilee - home.
Siku moja...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amemweka ndani Mkuu wa Kituo cha Polisi cha Kati mjini Mtwara (OCS), Ibrahim Mhando, kwa kushindwa kuwaweka mahabusu watuhumiwa wanne akiwemo...
Takribani wanafunzi 100 wa kidato cha tano na sita shule ya sekondari Kalangalala mjini hapa wameandamana kwenda ofisi ya mkuu wa Wilaya ya Geita kupinga kitendo cha mwenzao kupigwa na mwalimu...
wakuu
niweke wazi kabisa, mimi sio mpenzi wa muziki pendwa wa reggae
Lakini nimekuwa nikiusikiliza kwenye makusanyiko ya watu kama bar, club na maeneo mengine nikienda kuwatembelea wapendwa...
Mwanzoni mwa mwaka 2011 nilipanhiwa kwa mara ya kwanza kufundisha shule flani ya a level Kagera.
Wanafunzi wengi walikuwa na umri na miili mikubwa wanamikwala balaa,
Mwalimu mwenzangu mwanadada...
Habari za muda wakuu.
Ninekuwa nikiskia sana kwamba Africa kuna wavumbuzi wa vitu mbali mbali lakini wanalalamika serikali haiwapi sapoti.
Mfano kuna mtu alitengeneza SMG watu wakasema mara ooh...
Uungwana una gharama zake.
Dakika chache zilizopita amenipigia mtu simu. Ametumia namba 0764882284, akajitambulisha anaitwa Paul akipiga simu kutoka Vodacom Huduma kwa Wateja. Akaniambia kuwa...
Starehe zetu watu wa vipato vya chini na kati zinasikitisha
1.Pombe
2.wanawake
3. Kula ulivovikosa kwa mda mrefu
4.manunuzi yasiyo na utaratibu maalumu.
Ila kwa wenye nazo ni tofauti
1.Hutoka out...
nauliza tu...
maana hata ile statutory annual increments aliyoahidi mwenyewe kwa kinywa chake kwenye mei mosi pia Hadi leo hakuna!!
Mheshimiwa Kama ulisahau tunakumbushia tu hatuna Nia mbaya...
Ee mwanadamu wajitia wewe mjuaji kuliko wengine. Je, wewe wajua kuliko aliyekuumba? Wajitia upofu ukifikiri kwamba utaishi milele, naomba ujue mwanadamu utaishi miaka makumi wawili, matatu na kumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.