Josaje Mtui
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 2,469
- 2,207
Kwa kipindi kirefu hua najiulizaga bila kupata jibu sahihi ya namna ambavyo usomwagi wa taarifa za habari kwenye tv..hua zinarekudiwa kwanza na kueditwa kabla hatujarushiwa sisi watazamaji au zinakuaga ni matangazo ya moja kwa moja kama ilivyo kwenye radiio.! Na kama ni matangazo moja kwa moja vipi ule muhtasi tunaonesha lisaa limoja au zaidi kabla ya habari!! Mwenye ufahamu wa hili jambo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app