Hili Baridi la Lushoto Tanga Noma

Hili Baridi la Lushoto Tanga Noma

Madimba jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
1,585
Reaction score
3,182
Niaje wadau,niko Lushoto leo siku ya pili,licha ya kuwa huu mwezi August/Septemba si msimu wa baridi but ishu niliyokutana nayo kama ndo hivi huo mwezi june sijui inakuaje
cheki nyuzi joto hilo hapo chini
Screenshot_20180831-100835.png
 
Lushoto ni balaa.

Pata picha magestini tunachemshiwaga maji.

Piga nyagi alafu pata na kiburudisho😀

Jus kidin
 
Lushoto ni noma,, nimekaa hapo miaka miwili nikisoma chuo cha mahakama

Ilinibidi ntafute mwenza nikae nae hostel kabisaa na alhamdulillah ndo mama watoto wangu hadi leo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko hoteli gani mkuu. Mimi niko hii hoteli ya kanisa kkkt.
 
Mkuu wewe unatokea mkoa gani? yani 14 ni baridi, japo pia hapo bado inafikaga nyuzi 5 kabisa
 
Back
Top Bottom