Shamba la mifugo la utegi

Shamba la mifugo la utegi

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Sisi kama Wananchi wa Vijiji Sita vilivyouziwa Shamba hili tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. John Pombe Magufuli kwa kumnyang'anya Ndugu Otieno Igogo HATI ya shamba alilopora kutoka kwa Wananchi. Hujuma aliyofanya Ndugu Igogo ni mengi na hapa chini ni machache:-
(1) Kulikuwa na mifugo ipatayo 1000 ameuza mifugo karibu yote na sasa wamebaki kama 20.
(2) Ameuza vipuri vyote vya kiwanda cha maziwa. Vipuri vingine aliviuza Bukoba. Thamani ya vipuri vyote inakadiriwa kufikia 1bn/=.
(3) Shamba hili lilizungukwa na mlima,hivyo ndugu huyu ameuza mawe yote kwenye mlima huu.
(4) Miti mikubwa iliyoota kwenye shamba amekata na kupasua mbao na kuuza.
Hujuma aliyofanya Ndugu Igogo ni makubwa na sisi wananchi bado tunashangaa kwa nini hajafikishwa mbele ya sheria. Bado tunaiomba Serikali ifanye ufuatiliaji ili hatua za kisheria zichukuuliwe dhidi ya huyu mhujumu uchumi.
 
Ngoja nikupe kipande cha ukweli usioujua: Wananchi wa vijiji sita; ingri,






Umepata kuona huo mkataba wa mauziano? Unajua terms of agreement zilikua vip? sasa kwa kukutoa gizani ni kwamba ivo vijiji sita vinamiliki 30% yaani, 5% each, Igogo ana asilimia 49%. na bodi ya wadhamia ama wawakilishi wanamiliki asilimia 21%.

Kama una elimu kuhusu company law japo kidogo, na kwa kufahamu Igogo aliingia kama mwekezaji, sidhani kama kuna sababu ya kueneza uongo na chuki. Na kama ulikua hujui. Kuna report ya Takukuru ya due diligence inaonesha mali zilizokuepo kabla na baada ya mwekezaji kuingia ambapo inaonesha hakuna wizi, wala ufisadi, vilevile kaa ukijua hili suala linaendeshwa kisiasa.
It is only a matter of time Waeneza chuki wote mtaumbuka.
Bwege wewe unashabikia ujinga tuu, na utakuwa lijaluo la Kenya hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kama Wananchi wa Vijiji Sita vilivyouziwa Shamba hili tunaishukuru sana Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Mhe. John Pmbe Magufuli kwa kumnyang'anya Ndugu Otieno Igogo HATI ya shamba alilopora kutoka kwa Wananchi. Hujuma aliyofanya Ndugu Igogo ni mengi na hapa chini ni machache:-
(1) Kulikuwa na mifugo ipatayo 1000 ameuza mifugo karibu yote na sasa wamebaki kama 20.
(2) Ameuza vipuri vyote vya kiwanda cha maziwa. Vipuri vingine aliviuza Bukoba. Thamani ya vipuri vyote inakadiriwa kufikia 1bn/=.
(3) Shamba hili lilizungukwa na mlima,hivyo ndugu huyu ameuza mawe yote kwenye mlima huu.
(4) Miti mikubwa iliyoota kwenye shamba amekata na kupasua mbao na kuuza.
Hujuma aliyofanya Ndugu Igogo ni makubwa na sisi wananchi bado tunashangaa kwa nini hajafikishwa mbele ya sheria. Bado tunaiomba Serikali ifanye ufuatiliaji ili hatua za kisheria zichukuuliwe dhidi ya huyu mhujumu uchumi.
nani aliyewapa nyie wachache mali ya watanzania wote?
Tafuteni mashamba yenu mtuachie shamba letu sisi watanzania, nyambafu zenu.
 
Otieno Igogo lazima awajibike kwa hasara aliyosababisha.
 
Back
Top Bottom