Wabunge jengeni vyoo na posho zenu,shoo ya 100k hatuna viingilio

Luqman mohamedy

JF-Expert Member
Jul 24, 2016
892
1,226
Nimesikia na kuona hii show ya wabunge M.city ya kuchangia ubovu wa vyoo then nimekaa na kujiuliza hili swali;

1)Kwa upande wa wazazi ambao wanao wanasoma kwenye hizi shule inaqezekanaje kwako uweze kuchimba choo lakini ushindwe kumchimbia mwanao shuleni.
Cha msingi wakusanywe hata na mgambo wafetue matofali wawachimbie watoto wao vyoo.
Shule ina wanafunzi 1000 inawezekanaje wazazi 2000(baba na mama zao) washindwe kufetua tofali na kuchimba mashimo??Huku ni kuendekezana.
Mbona kikwete alijenga shule za kata kwa kukusanya wananchi??

2)Wabunge wameshindwa nini kujitolea posho zao za week 1 wawajengee waliowapa hizo posho vyoo wanakuja kufanya shoo ya laki kiasi ambacho kwa wengine ni mtaji au kodi ya miezi mitano.Mimi nadhani wamefeli.

Nimepata taarifa wameshafikisha mauzo ya tiketi 2.5b sasa hilonni jambo jema ila next tyme mjitathmin swala la vyoo ni aibu kuandaa mshoo ka huu
Screenshot_20180830-101805.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom