Chanzo umasikini kutoisha vijijini..

Chanzo umasikini kutoisha vijijini..

Remmygius

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2018
Posts
690
Reaction score
484
Ukifika maeneo mbalimbali ya vijiji nchini Tanzania utakutana na maafisa watendaji wa vijiji hivyo ambao wengi wao ni wazee pia hawana utaalamu wowote kuhusu maendeleo katika jamii.

Hakuna wanachokifanya zaidi ya kusubili kesi na migogoro ili wapate ulaji wa faini.

Rai yangu kwa serikali ipitishe fagio katika vijiji vyote ili wataalamu wa maendeleo tuliopo mtaani tupate nafasi ya kukiweka katika vitendo kile tulichojifunza darasani....!

NB:MTAZAMO TU
 
Back
Top Bottom