Wakuu,
Naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia...
Habari wadau
Wakati namsikiliza mheshimiwa rais akiwa katika kijiji cha Kyabakari kuna kitu niliona cha tofauti kidogo nikaona ngoja niombe kugahamishwa.
Niliona wanajeshi wenye sare tofauti na...
Leo nimekatiza Hospital moja hapa Ujerumani kwa Mambo binafsi. Nikawa naongea na best yangu. Dr hapa. Moja ya jambo alilonambia ni kuwa manurse na madokta wengi wanatoka Ulaya mashariki kwa kuwa...
Maafisa wa polisi wamewakamata watu sita kuhusiana na ubakaji wa kikundi na mauaji ya msichana wa miaka tisa nchini India katika jimbo la Kashmir.
Maafisa wanasema kuwa mama wa kambo wa msichana...
Mara kadha nimeona katika mitandao wanawake wakiomba misaada ya pesa ili waende India kupata matibabu yatakayowafanya wapate mimba lakini wanawake hao huwa hawana waume. Sasa kama mwanamke hana...
Jiji la Dar-es-Salaam lina vumbi jingi sana. Upepo unapopita vumbi jingi hutimuliwa na kusambaa kila kona.
Manispaa za jiji la Dar-es-Salaam wanafanya usafi kwa kufagia vumbi hilo kwa kulirudisha...
Jeshi la polisi mkoani Manyara limemkamata mtu mmoja, Bura Mayomba (55), mkazi wa kijiji cha Ngoley Kata ya Mwada wilaya Babati akiwa na nyara za serikali ambayo ni mayai ya mbuni.
Akizungumza na...
Kwanza niwapongeze wafanya kazi wote wa SUMATRA kwa kazi kubwa mnayoifanya kuhakikisha sekta ya usafiri na usafirishaji nchini unasonga mbele na wananchi wanapata huduma bora. Pongezi hizi naomba...
Mamlaka husika walitutangazia ifikapo tarehe 05/09/2018 channel zote za ndani katika kisimbusi cha startime zinazokadiliwa kufikia 38(kama sikosei) zitapatikana bure bila malipo ya kila mwezi...
Kwa mara ya kwanza nilikutana na vijana wa kike na wakiume ambao Kiinglish kimelala.
Zoezi la kwanza lilikuwa "Explain about Yourself''
Hapo ilikuwa ni patashika, maana kuna watu hadi tulitungiwa...
Mzee/RPC Mroto Shikamoo,
Nisipoteze muda niende kwenye mada.
Kwanza kabisa nakupongeza Sana Kwa uchapaji Kazi wako wenye weledi.
Pamoja Na pongezi hizo naomba kukufahamisha kwamba hapo central...
MAMLAKA ya Mapato nchini (TRA) imesema kama makontena ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, hayatapata wateja kama ilivyotokea katika minada miwili ya mwanzo, wanaweza kuchukua uamuzi wa...
Tumekuwa na wanasiasa wa aina nyingi na uwezo mbalimbali katika you dunia. Leo napenda tujadili Kati ya mwanasiasa mwenye uwezo wa kuhutubia hadhara (to deliver speech) na mwenye uwezo wa kujenga...
Askari wa JWTZ Dima Peter Mhole, amefariki papo hapo huku mwenzake ambaye amejeruhiwa akikimbizwa katika hospitali ya Kitete kwa matibabu baada ya kupata ajali iliyosababishwa na mwendesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.