Ecole
New Member
- Sep 4, 2018
- 4
- 0
Tumekuwa na wanasiasa wa aina nyingi na uwezo mbalimbali katika you dunia. Leo napenda tujadili Kati ya mwanasiasa mwenye uwezo wa kuhutubia hadhara (to deliver speech) na mwenye uwezo wa kujenga hoja ( bring strong facts) yupi ni bora katika jamii? Na ubora wake uko katika yanja zipi?. Karibun katika mjadala huru.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app