Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jeshi la polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Salum Mzee Kondo (38),fundi ujenzi mkazi wa Kidongo Chekundu, Bagamoyo aliyehusika na tukio la mauaji ya mkewe, Mwajuma Omary (27) kisha...
1 Reactions
106 Replies
11K Views
Tangazo, wanapima na kutoa miwani bure, lakini hiyo miwani yenyewe sasa daah! ni afadhali hata ile ya wachomeleaji ina vishikio; Yaani ukitegemea ile miwani kuvuka barabara wallah unagongwa...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Watanzania zaidi ya 50 wanaodaiwa kusamehewa na serikali ya Iran baada ya kufungwa jela kwa makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya wanaendelea kusota jela nchini humo kufuatia kusubiri kibali cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Martini Luther! Niseme nini tena huyu ndiye Mwanamapinduzi, Mwanamageuzi wangu mkubwa aliyewahi kuishi Dunia hii! Martini Luther aliyezaliwa huko nchi ya Ujerumani Bara la Ulaya, Mwaka 1517...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Nimegundua ya kwamba 85% ya Wasomi wa Tanzania na hasa ambao wanafanya Kazi Serikalini au ni Watumishi wa Serikali wana tatizo kubwa sana ' Public Speaking ' na wana Kiwango cha chini mno cha '...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
*CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) CHAAHIDI UONGOZI WA KIUTUMISHI NA KUSHUGHULIKA ZAIDI NA UTATUZI WA SHIDA ZA WANANCHI WA JIMBO LA UKONGA – WILAYA YA ILALA* Tarehe 06 Septemba 2018 Katika Mkutano wa...
0 Reactions
1 Replies
866 Views
Nimepitia sekeseke linaloendelea hapo Kenya kuhusu bei ya mafuta nikajua kweli wenzetu wanajitambua,na sie wa Tanzania tumelala,fikiria Serikali imeweka kodi kidogo kwenye mafuta itakayofanya...
2 Reactions
5 Replies
969 Views
Hiki ni kilio cha muda mrefu cha mawakala hawa waliosambaza pembejeo za ruzuku mwaka 2015.nashindwa kuelewa ni kwa nn serikali inawafanyia uonezi wa namna hivi.na kama inaona **** udanganyifu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
assalam wakuu 'huyu mzee ni mchawi sio buree, haiwezekani nasema huyu ni mchawi kwanini kwake tu? ila ok mrudisheni ndani' anaanza kusimulia Mzee Lingulungundwangu Kumahame akimnukuu mkuu wa...
20 Reactions
115 Replies
26K Views
Heshi mbele wakuu...Mara nyingi nimekuwa nikisikia hawa jamaa wa Nigeria(hasa waliopo nje ya bara la Afrika) wakiitwa wapopo..Hivi hili neno lina maanisha nini???,ni nini asili yake???,naomba...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Miaka ya nyuma cheo cha DC kilikuwa kinaheshimika sana miongoni mwa jamii yetu na mtu aliyekuwa anateuliwa nafasi hiyo ilikuwa lazima anajulikana kwa heshima yake. Heshima ya cheo hicho ni pamoja...
30 Reactions
265 Replies
60K Views
Kuna level au vyeo au kipimo cha ukubwa wa nyota yako kwa kujikuta unaweka ishara mbalimbali za Freemasony kama kukunja nne pale unapokaa,kuweka mkono mfukoni,kujikuna kichwa na kadhalika Ila...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimeona hii habari nikasikitika sana. Hivi Tanzania ya viwanda tunataka iwe ya viwanda gani? Nilitegemea Serikali na taasisi mbalimbali wajitokeze wamsapoti huyu mzee aliyebuni hii bajaji ila...
57 Reactions
219 Replies
31K Views
Hii nchi ilipofikia tusiombe tena ila tutubu tu labda kuna mzee nilifikirigi ana elimu kubwa lkn anaongea mashudu tupu anadai yale makontena yaliyokua na matrekita na masofa yalikua karibu ña...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Kama heading inavyojieleza, ningependa kupata maelezo kuhusu Kisiwa cha Hawaii, hasa kwa watu wenye uzoefu (ikiwezekana waliowahi kufika). Nina safari (kikazi) ya kwenda huko Kama wiki tatu hivi...
0 Reactions
6 Replies
832 Views
namsikiliza Bilionea Ali Mfuruki amesema kuna wawekezaji anakutana nao huko nje akiwaambia anatokea Tanzania wanashangaa Tanaznia ni nini, na iko wapi hapa duniani? : ITV 45 dakika Kuna jamaa...
20 Reactions
172 Replies
13K Views
Mnipokee tu na ugeni wangu wajameni
0 Reactions
1 Replies
538 Views
Ili kuwa Siku ya tarehe 7/9/2017 mchana kweupe pe katika maemeo wanapo ishi viongozi wakubwa wakiwa Bungeni huko Dodoma, Tundu Lissu alishambuliwa na watu waliopewa jina la wasio julikana na ni...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza, ningependa kupata maelezo kuhusu Kisiwa cha Hawaii, hasa kwa watu wenye uzoefu (ikiwezekana waliowahi kufika). Nina safari (kikazi) ya kwenda huko Kama wiki tatu hivi...
0 Reactions
6 Replies
836 Views
Habari wadau naomba mwenye uelewa wa salary scale zetu hapa tanzania kwa waajiriwa serikalini anipe mwongozo hasa maana ya PUTS 1.1
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom