Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam

Msaada: Sehemu zenye "karaoke" Dar es Salaam

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Wakuu,

Naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia kuimba imba tu.

Wale watakaoshauri kanisani asanteni sana ila kila kitu kina nafasi yake ya kaisari tunampa kaisari.

Tujuzane wakuu, natanguliza shukrani.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Wakuu naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia kuimba imba tu,

Wale watakaoshauri kanisani asanteni sana ila kila kitu kina nafasi yake ya kaisari tunampa kaisari

Tujuzane wakuu, Natanguliza shukrani
Coco beach-jtano
Escape one-alhamisi
777-ijumaa
Samaki samaki-jtano
 
White Sand - Mbezi Beach Kila siku
 
Wakuu naombeni msaada wanaojua sehemu nzuri za "KARAOKE" na live band hapa jijini, itakua poa mtu akisema mahali na siku, sana sana "karaoke" mana nahisi wkend hii itaanza mapema na najisikia kuimba imba tu,

Wale watakaoshauri kanisani asanteni sana ila kila kitu kina nafasi yake ya kaisari tunampa kaisari

Tujuzane wakuu, Natanguliza shukrani

Mburahati mkabala na Shule ya Mianzini, huwezi kupotea!
 
Back
Top Bottom