Starmedia wapuuza maagizo ya TCRA

Starmedia wapuuza maagizo ya TCRA

social_science

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Posts
1,104
Reaction score
1,262
Mamlaka husika walitutangazia ifikapo tarehe 05/09/2018 channel zote za ndani katika kisimbusi cha startime zinazokadiliwa kufikia 38(kama sikosei) zitapatikana bure bila malipo ya kila mwezi.

Kitu cha kushangaza mpaka muda huu nawasha kisimbusi changu hakuna kitu kama hicho.Sina lengo kuwafundisha mamlaka husika kazi kwa hili mmetukwaza sana.Wanasiasa wanatupa ahadi hewa hata ninyi watendaji?????
 
Hao ni wapendwa wa serikali ndio maana hawaguswi na TCRA.
 
Kuna Jamaa Jana kwenye group flani la WhatsApp alikuwa anasema kwake anaona bure na hajalipia Ila ni mpaka sijui kuupgrade au kuupdate sina uhakika maana situmii hicho kingamuzi
 
Back
Top Bottom