Sare za jeshi

Sare za jeshi

sikonjose

Senior Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
107
Reaction score
61
Habari wadau
Wakati namsikiliza mheshimiwa rais akiwa katika kijiji cha Kyabakari kuna kitu niliona cha tofauti kidogo nikaona ngoja niombe kugahamishwa.
Niliona wanajeshi wenye sare tofauti na nilizozoea kuwaona nazo wanajeshi wetu.
Swali je jeshi letu lina sare tofauti tofauti kama hii inayoonekana hapa?
Screenshot_20180906-184432.jpg
 
wewe una zani hao wamekodiwa kutoka marekani???
 
Chilla nimeuliza jeshi letu lina sare tofauti na zile tulizoea kuwaona nazo?
nami nauliza kama sio wa tanzania je ni wa wapi?? sheria zina ruhusu watu kuja kutoka nje kufanya kazi za umma... na wasio raia...??? je na wanao vaa suti ni vazi la majeshi yetu ya ulizi...
 
nami nauliza kama sio wa tanzania je ni wa wapi?? sheria zina ruhusu watu kuja kutoka nje kufanya kazi za umma... na wasio raia...??? je na wanao vaa suti ni vazi la majeshi yetu ya ulizi...
Shida yangu sio uraia wao,ila uniform je wanazo kama hizo?
 
Sehemu nyingi yuko nao..... kianzia kigoma,bukoba,mara, ikulu nenda kawaone,
Jaribu kuwa unatazama misafara na mikutano yake mingi
 
Ukihoji hoji sana tutakuita msaliti na unarudisha nyuma jitihada za rice katika kujenga Tanzania ya viwonder.

Fanya kazi.
 
Back
Top Bottom