Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nimekuwa kwenye msimamo wa fikra zangu kwamba kuishi vizuri kwenye jamii pia huchangiwa na kuishi maisha ambayo kuna watu wengi wanayaishi kwenye jamii uako. Mimi ni kijana mwenye miaka 26...
1 Reactions
84 Replies
8K Views
Ndugu wapendwa, Kwa wale waliopitia degree na masters mlimani, mtaungana nami ninachosema. Hizi teuzi zinazoendelea kwa Madaktari na Maprofesa, hazijatajwa bahati mbaya na wakatu wa Mungu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Naamini mko poa humu ndani. Leo mida ya asubuh wakati naelekea kwnye miangaiko yangu ya hapa na pale bhana, nikapita mita ya karibu na nyumba anayoishi Mzee wetu mwenye nyumba. Sasa kikukweli...
4 Reactions
93 Replies
10K Views
kamati ya kupanga ujenzi hapa yerusalemu itaidhinisha mpango wa kujenga majengo 75 ya makazi ya wahayahudi Habari hizo zimewakera sana waarabu na kuishia kununa tu bila kujua cha kufanya baada ya...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Watanzania roho zetu zimekunjamaa kama fundo la mkono. Akili zetu zimekunjwa kama ngumi. Hii ndiyo sababu kila kukicha tunaona mabaya tu. Tena hii ni katika ngazi zote,familia,mpaka Taifa. Nani...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Idara ya maafa, Kanali Said amesema hakuna tishio la kimbunga Tsunami bahari ya Hindi bali zoezi la utayari la namna ya kukabiliana na maafa.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zamuda huu? Ningependa kuuliza hivi kampuni ya Digitek iliishia wapi? Walianza na Antenna(terrestrial) wakaja na dishi ( settelite) ilikuwa inaitwa Digitek plus wamepotea Tena! Kwa muliopo...
0 Reactions
6 Replies
879 Views
Ndugu zangu wa salam. Najua unaweza kunisaidia hili.napendelea sana kuwasiliana kwa kutumia messages hasa ninapokuwa bize na kazi za ofisi.na Mara nyingi unatamani kuwasiliana na MTU Mara moja tu...
0 Reactions
24 Replies
6K Views
Ndg wana jf nimesoma specifications za ndege ya airforce one ndege rasmi ya rais wa marekani Ina vutu vingi sana vya kiulinzi kuanzia mitambo ya kujam rada simu kumtambua na kumshambulia adui nk...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Siku hizi kuna mtindo / utaratibu wa kuomba Salary Advance kwenye Bank unakoingiziwa mshahara… kwa Watumishi wa Umma, hasa mtu anapokuwa na shida ( kubwa au ndogo )! Mfumo huu unawasababishia...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
Habari wanajamvi leo nilikuwa natoka msoma naelekea mwanza bahati nzuri nikakuta rais akihutubia wananchi Bunda.kitu kilicho nivutia na kunishangaza mpk kuandika huu uzi ni walinzi wake tumezoea...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Ofisi ya mwanasheria wa uingereza imetoa utambulisho wa watu wawili wa kirusi walishukiwa kujiusisha kumpa sumu wakala wa zamani wa uingereza Sergei na binti yake hivi karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
I gave her money I gave her time I gave her everything Inside one heart could find I gave her passion My very soul I gave her promises And secrets so untold And she promised me forever And a day...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rejea kichwa cha habari ni jana nimepigiwa simu na private namba ......ila sikupokea je private namba bado zipo.....Au ndo wasiojulikana hao????
1 Reactions
13 Replies
6K Views
Kumekuwa na hii dhana na imani ambayo naona kama imeshika kasi kwa Watanzania kuwa ukitenda ubaya, utapata na kuiona adhabu yako kabla ya kifo chako. Sina uhakika kama ni imani au roho ya visasi...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Maafisa waliojihami wanaodaiwa kuwa maafisa wa polisi wa Kenya wamevamia ofisi za chombo cha habari cha Uchina China Global Television Network mjini Nairobi na kuwakamata wafanyikazi wa kigeni...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania ya Mwaka 2018 itakayokuwa na majukumu mbalimbali yakiwamo ya kuweka viwango vya utaalamu wa ualimu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam. Mkazi wa Kinondoni, Godfrey Benjamini amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Mwanzo Kinondoni akidaiwa kumtorosha mtuhumiwa Francis Benjamini ambaye ni mdogo wake. Mwendesha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia mijadala mbalimbali juu ya issue ya Makontena yanayotajwa kuwa ya RC dhidi ya tuhuma za Kodi zinazomkabili..! Watu wengi wanasema busara itumike busara itumike lakini ukiangalia...
16 Reactions
29 Replies
4K Views
Wasalaam Kuna baadhi ya makundi ktk jamii zetu wanatekeleza majukumu yao vzr sn likiwemo hili la umoja wa waandishi wa habari! Naona kwa kuzingatia majanga wanayopata wameamua kumpa tuzo Azory...
4 Reactions
20 Replies
7K Views
Back
Top Bottom