We are ALL born in a planned system, so it's either you're inside or outside that system. Some are born working within the system, they have everything handed to them on a silver platter, they...
Jana nikiwa naelekea segerea nikapishana na gari linatangaza mnada wa kuuza hizi shule na muuzaji ni CRDB. Nilisikia za chinichini kuwa huyu mmiliki wake anadaiwa madeni kama yote. Wenye nia...
Je sisi kama taifa tunajua maana ya uhuru na umoja
Je uhuru wa mtanzania ni upi
Na umoja wa mtanzania ni upi
Uhuru ni nini na Umoja ni nini
Je umewahi kunyimwa uhuru
Je tumewahi kuwa na umoja
Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Eng. Tumain Magesa mgeni rasmi warsha ya walimu wanawake wa Chama Cha Walimu CWT iliyofanyika mjini Kibaya.
Akizungumza na walimu wanawake ambao ni...
Kama kichwa kinavyojieleza,
nimeambiwa na mkuu wangu wa idara kuwa watumishi wote wanaoishi kwenye nyumba za umma watalipa tsh 10000 kila mwezi. Malipo hayo yatakatwa moja kwa moja kwenye mshahara.
Watoto wawili wa familia moja wamefariki baada ya kuteketea kwa moto unaodaiwa kusababishwa na mmoja wa watoto wa familia hiyo ambaye amenusurika aliyekuwa akiwapikia chai wadogo zake nyumbani...
Bajaji wakiwa kwenye foleni kuwekewa mafuta na mtu ambaye hakutaka kujitambulisha
Mwanaume mmoja, ambaye amekuwa akiongozana na maaskari polisi wawili, amekuwa akigawa fedha za bure kwa watu...
Pesa sijui ameenda wapi siku hizi. Sijui yupo likizo!
Kumpata Bw. Pesa ni kazi ya ziada sana. Pesa una majukumu mengi Pesa ?
Tunakutafuta huku mtaani hatukuoni Bw. Pesa. Tunapata shida sana.
Picha halisi ya Deogratius Kisandu na Feki Deogratius Kisandu (Benard Mtorela)
1.Picha ya kwanza ni ya kidato cha pili pale Magu Sekondari januari 1998 yenye Uniform, wa kwanza kushoto ni...
Habari ndugu zangu
Kuna tabia imezuka siku hizi ya mtu kuongea kwa sauti kubwa huku mambo anayoyaongea hayana tija kwa wengine ,mfano juzi nilikuwa nimekaa nikinywa soft drink kiukweli eneo...
Umahiri wa viongozi wa Tanzania wasioyumbishwa mfano wa mzee magufuli umepewa makao makuu ya ukombozi wa Bara la Africa,
Makamnda wote wa CCM na CHADEMA mnapaswa kutambua nafasi ya Tanzania...
Kuna jambo la kujiulza
Mtanzania mwenye uelewa na ujuzi wa kulima ,kuvuna na kuuza mazao sokoni, nini kikupeleke ulaya kulea wazee na kuosha vyombo??
Maisha halisi ya watanzania na waafrica...
Kuna Watu leo hii kila siku wanalaumu na wanajiona kama vile hawana bahati hapa duniani wala thamani yoyote ile huku wengine hadi wakifikia hatua ya Kumkufuru Maulana / Mwenyezi Mungu eti Kisa tu...
Hamtupi taarifa mmefikia wapi kumaliza mgogoro wenu wa kisheria na serekali wala hamuoni kuwa mnazidi kupunguza coverage day by day. Watu tulinunua ving'amuzi kwa ajili ya kuhabarika sasa leo...
Du maisha yapo. Leo pia nimepita kuchukua mzigo wangu toka kwa Dr best ynagu hapa Klinikum moja. Njiani unaona kitanda na mtu kalala na drip yake. Of course mazingira safi Hakuna mmbu aber leider...
Hospitali teule ya Mugana iliyoko Wilayani Missenyi imefanikiwa kumfanyia upasuaji kijana mmoja mgonjwa akili mkazi wa Kyerwa mkoani Kagera nakumkuta na vifaa mbalimbali tumboni ikiwemo...
Msaada Ndgu Nahtaj Kufahamu Udsm Wanatoa Majina Lini Ya Waliochaguliwa Na Second Selection Zmeshatoka Au Bado Za Chuo Kikuu Msaada Jamani Mpaka Xaxa Xjapata Selection Mxaada Kwa Hlo Jaman
Last week nilitembelea shule ya sekondari ,ipo kariakoo katikati ya Benjamin Mkapa na ile shule ya Viziwi,ni shule ya umma,baada ya kumalizia shughuri yangu wakati natoka nikakutana na wanafunzi...
Habari wandugu hii ni miongoni mwa simu nilizokua nazo
Hii simu tatizo lilianza nilivyoirestore nilirestore kwa bahati mbaya wakati inarestore betri ikachomoka kuanzia hapo ikawa inawaka tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.