Mwanamke hana mume halafu analalamika kuwa hapati mimba na kuomba misaada ya pesa ili akatibiwe kupata mimba hii imekaaje?

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,305
12,969
Mara kadha nimeona katika mitandao wanawake wakiomba misaada ya pesa ili waende India kupata matibabu yatakayowafanya wapate mimba lakini wanawake hao huwa hawana waume. Sasa kama mwanamke hana mume anatakaje msaada wa kupatiwa mimba?

Mmoja alikuwa na majigambo akisema anataka atakayemua awe na mamilioni lakini kabla yajaolewa akaanza kuomba michango aende kutibiwa ili aweze kushika mimba. Sasa kama hajaolewa na kukaa na mume anaanze kuomba misaada ya kutibiwa ili apate mimba?

Kwanini wasiolewe kwanza ndio wakae katika ndoa kisha wacheki kama wanaweza kudungwa mimba au laa kuliko kuruka ruka na kulalamika kuwa hawapati mimba wakati wao wenyewe hawatulii wamejaa majigambo kibao!
 
Kwa hiyo kama hujaolewa huwezi kupata mimba ??
mbona unakuwa mtu wa hovyo hovyo ??
 
Mara kadha nimeona katika mitandao wanawake wakiomba misaada ya pesa ili waende India kupata matibabu yatakayowafanya wapate mimba lakini wanawake hao huwa hawana waume. Sasa kama mwanamke hana mume anatakaje msaada wa kupatiwa mimba? Mmoja alikuwa na majigambo akisema anataka atakayemua awe na mamilioni lakini kabla yajaolewa akaanza kuomba michango aende kutibiwa ili aweze kushika mimba. Sasa kama hajaolewa na kukaa na mume anaanze kuomba misaada ya kutibiwa ili apate mimba? Kwanini wasiolewe kwanza ndio wakae katika ndoa kisha wacheki kama wanaweza kudungwa mimba au laa kuliko kuruka ruka na kulalamika kuwa hawapati mimba wakati wao wenyewe hawatulii wamejaa majigambo kibao!

Mnajuana kwa vilemba vyenu
 
Back
Top Bottom