Wasomi tuwaombee ndugu Rugamalira na Sethi wawe huru,wailipe Serikali ili waajili wasomi wengi kama shukrani

FrankLutazamba

JF-Expert Member
Aug 9, 2018
449
408
Kusema kweli kurudia kosa ndio kosa,kwa mda waliokaa lupango unatosha kwao kutubu kosa,kwa aliewahi kukaa lupango Siku tatu tu zinatosha kujutia

Wapo walioiba kama Mobutu,San Abacha Ila hawakuzifanyia kitu kikubwa ni kuzirejesha

Mtakatifu Papa Paul wa pili niliebahatika kumuona mwaka 1990 akilindwa juu na helkopta aliwahi kumsamehe mtuhumiwa aliemshambulia kwa risasi na alimtembelea selo hivyo nasie tungeiga moyo huo wa kusamehe

Kama tumemsamehe babu Seya na lulu hata hawa wanapaswa tuwaombee wasamehewe ili waje kulipa fadhira kwa kuajili vijana wengi zaidi

Kwa muda waliokaa wamejifunza

IMG-20180905-WA0001.jpg

Instagram:kaukwaju
 
Kwa mda waliokaa wamejifunza

Instagram:kaukwaju
Anzakujiombeawewee
 
Mkuu hawa Wang's cheeses has kukamatwa,wangeanza kuina wake zetu,maana fedha washazifisadi kilichobakia ni kuwafisadi wake zetu.
 
Back
Top Bottom