Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Inasikitisha sana kuona watanzania walio wengi bila kujali elimu zao hawawezi kuandika Kiswahili kwa ufasaha licha ya kuitumia lugha hii kama lugha ya Taifa Katika utafiti mdogo niliofanya...
14 Reactions
67 Replies
7K Views
Raia wanne kutoka nchini China wanaofanya kazi ya upanuzi wa Bandari ya Mtwara wamekamatwa kwa tuhuma za kitokuwa na vibali vya kufanya kazi hapa nchini. Hayo yamesemwa na maafisa wa kazi mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Image captionMifuko ya plastiki laini hupatikana kwa bei rahisi Tanzania Mara nyingi mifuko laini na miepesi ya nailoni au Rambo kama inavyojulikana na wengi Tanzania imekuwa ikitumiwa na baadhi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu mmoja mkazi wa Image Kigwa mkoani Tabora jana amenaswa na polisi kwa kutuhumiwa kumiliki kiwanda cha kutengeneza silaha aina ya gobore, mtuhumiwa amekiri kuwa amekuwa akifanya shughuli hiyo...
0 Reactions
0 Replies
859 Views
Mdada mmoja ( jina halijafahamika bado ) leo asubuhi aliibiwa Mkoba wake kwa 'Kukwapuliwa' na Vibaka waliokuwa na Pikipiki maeneo ya Kinondoni Moscow na ndani ya dakika chache wale Wezi wakapata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
KWANINI WANAWAKE HUSINDWA KUKITETEA WANAPO KUWA WANABAKWA KINGO SR Nimekuwa na maswali Sana juu ya hili suala kwambwa inawezekana vipi mwanamke(msichana) amabae anauwezo wakubeba hata mfuko wa...
6 Reactions
47 Replies
11K Views
Wakuu hebu tuongeleee kidogo hii michezo ya bahati nasibu kwangu sio mbaya sababu pia watu wanajipatia kipato na kubadili maisha ila tatizo linakuja pale ambapo radio zote nchini pamoja na tv...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Salaam wakuu poleni na majukumu ya leo kwanza niseme nchi yetu bado iko kwenye fedhea ya hali ya juu katika pita pita zangu nilifika boda ya sirari inayotenganisha mpaka wa Tanzania na kenya...
8 Reactions
20 Replies
4K Views
Binti wa miaka 13 Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Mzimuni sekondari Mary Alex amechomwa moto na Mama yake Mzazi baada ya kupotea kwa shillingi elfu mbili ndani ya nyumba, Boko Jijini Dar es...
0 Reactions
50 Replies
6K Views
Habarini wanaJF!!! Nadhani wazima wa afya njema. Poleni na harakati za kutafuta na maisha popote pale ulimwenguni Mwenyezi Mungu atusaidie,Ammyiin!! Ujio wangu na kuja kuandika thread hii...
1 Reactions
85 Replies
6K Views
Jeshi la polisi mkoni Tabora linawashikilia askari wake 10 kwa kusababisha kifo cha Selemani Jumapili ambaye alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya Igunga kwa matibabu...
0 Reactions
44 Replies
8K Views
Kwema Wadau Katika hali ya kawaida ukimuita rafiki yako kichaa wangu inamaanisha ni rafiki wa kweli lakini kwa kauli hii aliyoitoa huyu Mkuu wetu wa nchi bado inanitatiza maana anasema aliamua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
najua kazi mbili tu. Kutunga sheria... Kuishauri serikali... kwa ufupi naona kama wigo wa kazi zake ni bungeni tu. serikali yenyewe kutokea huko bungeni inatuletea maendeleo kupitia wawawakilishi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana jamvi? Hapa Dasalama kwa sisi watembea na miguu tunakutana na kero nyingi sana. Mara nyingi watu hutembea kwa miguu kutokana na sababu mbali mbali ikiwa ni pamoja na kukosa nauli...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Katika kuchangia ongezeko la Wataalam wengi katika Sheria na Kanuni za Mitandao ya Kijamii, JamiiForums ikishirikiana na Freedom House iliandaa mdahalo kuhusu nafasi ya Kimtandao (Cyberspace)...
5 Reactions
20 Replies
15K Views
Ukisafiri routes za makambako~songea~lindi to DSM kuna baadhi ya gari zina utaratibu mbovu kwel mda wa kuchimba Dawa abiria wanashushwa porini utasikia kiume mbele ya gari na kike nyuma ya gari...
0 Reactions
2 Replies
736 Views
jamani nina mdogo wangu wakike ambaye hivi majuzi tu kanieleza kuwa mwalimu wake wa somo la historia anamsumbua na kkumtaka kimapenzi, kwa kweli niliishiwa pumzi na hata kukosa jinsi ya...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hii barabara mkandalasi ataimaliza lini!? Ilikuwa shortcut nzuri sana toka ubungo kwenda segerea mpaka gongs.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
HAYA NDO MANENO ALIYO ANDIKA MWANA DADA JOYCE KIRIA Yes sikulilia ndani alipoingia matatizoni….. Niligangamala nikapaza sauti na wanangu mchana kweupeee… Haikuwa rahisi hata kidogo lakini...
16 Reactions
361 Replies
34K Views
Taarifa nilizopata zinasema kuanzia wiki hii mwananchi atakayelipia huduma za Serikali kupitia mfumo wa Government è Payment Gateway (GePG) atalazimika alipie gharama za huduma,(mfano) Luku, Maji...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom