If you want to tell your friends about your own problems, tell them. But don’t discuss what someone told you in private. Whoever hears it will lose their respect for you and will never trust you...
Habari wana jf kuna hii picha nimeikuta kwenye mitandao japo ni ya kutengeneza la
lakini nimeiwazia sana huyu jamaa alikata tama akiwa kwenye hatua za mwisho kuyafikia mafanikio na hata sisi wana...
Sijawahi kuwatch movies au series za kituruki lakin jana wakat na tembea hko netflix nimekutana na tamthilia ya kituruki inaitwa Winter Sun nilifanya kuangalia kama kujaribu kuangalia lakn...
Habari wanaJF, uzi huu maalum kwa wale wapenzi wa comic movies za MARVEL na DC comics twende sawa.
Mwaka 2018 Marvel wameachia movie yao inayoenda kwa jina la BLACK PANTHER ambayo mauzo yake...
Habari wakuu,
Kuna utafiti nafanya, nahitaji kujua Tanesco wana wateja kiasi gani wa umeme.
Nimejaribu kufanya research online lakini sijapata takwimu za miaka ya karibuni, nimeona takwimu za...
mungu sio athumani ni kauli ya wahenga na ina maana kubwa. huko mbeya imetokea ajali mbaya. watu wanaokadiliwa kuwa 15 wamefariki dunia katika ajali hiyo. ni takriban miezi miwili sasa au zaidi...
Habari wakuu,
Nimekwama naomba mwongozo, kwa wale ambao wana ufahamu na uzoefu katika application za visa, nchi nyingi zinahitaji uwe na health insurance itakayoweza kukuhudumia kipindi...
Wafugaji na wakulima ni makundi ndani ya jamii ambayo yanategemeana kwa shughuli za kiuchumi ili kuendesha maisha yao.
Kawaida wafugaji wanatumia ardhi wa shughuli za ufugaji pamoja na kilimo...
Wakuu salamu kwenu na poleni kwa majukumu mazito ya ujenzi wa taifa. Katika somasoma yangu nimekutana na hii kesi ambayo was referred to as the longest civil case in Tanzania.
Naomba yeyote...
Wafugaji na wakulima ni makundi ndani ya jamii ambayo yanategemeana katika shughuli za kiuchumi kuendesha maisha yao.
Wafugaji wanatumia ardhi wa shughuli za ufugaji pamoja na kilimo, huku...
Shikamoo serikali, shikamoo magufuli, shikamoo ccm. Sasa naangalia vipindi moto moto kupitia king'amuzi cha startime kwa raha zote. VISIMBUSI vingine kama azam jifunzeni kwa wenzenu.
Katika pitapita zangu nimeona club moja ya Afande selle imejengwa kandokando ya mto hapa Moro ndio nikagundua kua ndio maana karudi chama la wana ili asisumbuliwe!
Binafsi nimetokea kuwakubali sana hawa Wasomi wa kiwango cha juu na hujikuta nikivutiwa sana kuwasikiliza kila wawapo either redioni or runingani na nikiri kusema kuwa hawa wasomi Dr. Ayub Rioba...
Msaada naomba mnisaidie ni hatua gani ninaweza kuchukua kwa uongozi wa Nmb Chato kwa kuchukua taarifa zangu za bank na kumpa muajiri wangu bila ruhusa ambaye ni mtu binafsi na bila kutoka kwenye...
Wanawake kuweni makini sana mnapofanya maamuzi ya kuwa acha wapenzi kwa sababu wamefulia more especially mnapo kuwa mmezaa nao..Story ya mzee huyu is a vivid example.
Mzee mmoja mwenye pesa na...
Wasalaaam
Kama kichwa kinavyoeleza
Ninii sababu ya maeneo mengi ya makaburi kuwa na historia ya kutokea vitimbi vya hapa na pale
Natamani niwatagg majuvi lkini kwa bahati mbaya sijui kitagg...
Katika safari zangu nikitumia usafiri wa umma nimechukua wasaa kuongea mawili matatu na madereva na pia wahudumu katika magari haya.
Kilicho wazi ni kuwa watumishi hawa wenye kubeba roho zetu...