Msaada naomba mnisaidie ni hatua gani ninaweza kuchukua kwa uongozi wa Nmb Chato kwa kuchukua taarifa zangu za bank na kumpa muajiri wangu bila ruhusa ambaye ni mtu binafsi na bila kutoka kwenye amri ya mahakama
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.