MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Binafsi nimetokea kuwakubali sana hawa Wasomi wa kiwango cha juu na hujikuta nikivutiwa sana kuwasikiliza kila wawapo either redioni or runingani na nikiri kusema kuwa hawa wasomi Dr. Ayub Rioba na Dr. Bashiru Ally wamenishawishi kwa kiasi kikubwa nami kujiendeleza na kutaka kufikia mafanikio waliokuwa nayo hasa ya KITAALUMA na ya KIUCHAMBUZI na nimetokea KUWAPENDA mno na sana. si vibaya wenzangu labda mlio na mtazamo tofauti wa kuhusu UMAHIRI wao basi mkauweka hapa ili na sisi wengine tuujue na tuweze kujifunza.
ANGALIZO.
Hapa sitaki watu muanze kuleta maisha yao BINAFSI ya nje ya KAZI zao ( namanisha kuwa SITAKI au SIHITAJI UMBEA wala MATUSI dhidi yao na ni bora kama huna cha kuwaelezea basi upite tu ) bali nataka tuwachambue KISOMI au KITAALUMA kabisa na labda nitoe tu RAI yangu kwa Rais wangu KIPENZI kabisa Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI kuwa ajitahidi kutizama ni wapi anaweza AKAWATUMIA hawa WASOMI wawili kwani MAARIFA yao MAKUBWA yanahitajika mno katika nchi yetu hii au taifa letu hili.
Popote walipo naomba hawa watu wawili WAPOKEE kwa dhati kabisa hizi SIFA zangu kwao hasa nikijua kuwa hata wao ni MEMBERS wazuri sana humu JF na bado naendelea KUJIFUNZA mengi kutoka kwao. kuwa watu ukiambiwa kuwa ni PhD holders wala hushangai mfano hawa watu wawili niliowataja hapa kwani zungumza na maarifa yao na bila kusahau uchambuzi wao ni jibu tosha kuwa WAMEIVA na ni wa HALI ya JUU kabisa ila kuna wengine ukiwaona au ukisikia kuwa ni PhD holders kila WAKISEMACHO na MATENDO yao HAYASHABIHIANI na uwezo wao wa KITAALUMA.

Last edited by a moderator: