Tetesi: VIHOJA MAKABURINI

kinjekitile70

JF-Expert Member
Oct 11, 2017
1,072
1,421
Wasalaaam
Kama kichwa kinavyoeleza
Ninii sababu ya maeneo mengi ya makaburi kuwa na historia ya kutokea vitimbi vya hapa na pale
Natamani niwatagg majuvi lkini kwa bahati mbaya sijui kitagg


Nimeandaa popcorn zangu hapa na togwa nasubiri mrejesho,....
 
Vipo kuna koo flani walimzika ndugu yao maneno yakazuka kuwa wamemtoa kafara,ikapita siku chache akawa anawajia ucku kuwanyonga akikukosa kwa bahati mbaya anakurudia ,

Amewauwa kama ndugu watano ndio wakaanza kwenda kwa waganga wa Kienyeji kutafuta suluhisho,wameenda kaburini kaburi linashimo upande wakaambiwa hayupo alitokea penye shimo .

Kazi ya mgonga ikaanza kuchoma Dawa kumfukua na kuzika upya ikabaki story mjini.

Maswali sitaki kwani mm siyo ndugu wa Marehemu ss tuliona mchakato na kushuhudia baadhi ya mambo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom