Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,662
Kuna watu wana tabia za kukebehi sana wazamiaji na kuwaita majina lukuki ili mradi tu uonekane ni mtu huna dira. Katika pitapita zangu katika kijiji kimoja Botswana nilikutana na Mtanzania mmoja ambaye aliniambia kabla ya kufika Botswana aliniambia alikaa sana Harare.
Nilipomwambia natokea kanda ya ziwa basi akaniuliza unamfahamu Kishimba!? Nikamjibu sana tu tena na Mh. Mbuge wa Kahama. Yule jamaa akaniambia kuwa Kishimba anayo makampuni yake Zimbabwe na pia ana makazi yake katika jiji la Harare sikushangaa sana kwani namfahamu sana Kishimba kama mfanyabiashara wa muda mrefu na inasemekana ashawahi kumuajiri hata Jiwe miaka ya nyuma. Akanidokeza kuwa hapa Botswana Kishimba anafuga ng'ombe wa kisasa kwa ajili ya nyama kwenye viwanda vyake na maziwa.
Nilichojifunza hapa kuwa japo yeye kaja kibiashara lkn na yeye ni mzamiaji tu mwezetu. Hivyo Kishimba popote ulipo umoja wa wazamiaji unataka kukusajiri ili tutambuane