Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Nimeamua mwanangu aende moja kwa moja kwenye professional ya ngumu/ football badala ya kuanza shule na kusoma hadi chuo kikuu.
Coz huku kwenye mangumi na mpira ni shortcut sana kufikia malengo yake ya kimaisha hasa maisha mazuri .
Mnanishaurije wadau wangu. Coz mm baba yake nimesoma weee lakini kuja kufanikisha maisha mazuri hadi nilipofikia umri wa miaka 60.
Sasa naona ni bora dogo apite shortcut tu.
Naomba kuwasilisha.