Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Amani iwe kwenu wakuu! Awamu ya 3 na 4 nyumba nyingi sana ( chakavu na zisizo chakavu) ziliwahi kuuzwa na Serikali kwa watumishi wa umma , either waliokuwa wakiishi kwenye nyumba hizo au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imewahi kunitokea mwaka juzi ndugu yangu wa karibu aliponiomba niwe mweka hazina. Aisee sitasahau katika maisha yangu...ulikuwa mtihani mzito kwangu. Wiki1 kabla ya sherehe nilikuwa nimetumia...
17 Reactions
138 Replies
19K Views
MKAZI wa Mtaa wa Kamando katika Kata ya Igunga Mjini wilayani Igunga mkoani Tabora, Masumbuko Stephano (39) amefariki dunia papo hapo baada ya kuchomwa kisu na mkewe Christina Elias (30) kwa wivu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hatimae baada ya vuta nikuvute ya muda mrefu kampuni ya Star times imeziachia channel zote za ndani ambazo kwa muda mrefu walikuwa hawazionyeshi pindi mteja anapokuwa hajalipia kisembuse Hongera...
15 Reactions
102 Replies
12K Views
Niliona Tangazo toka TCRA kupitia moja ya vituo vya habari vya Television hapa nchini. Tangazo lilitaka/kusisitiza Watanzania kununua visimbuzi vya Ting, Continental, Digitek na Startimes ili...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jeshi la Polisi mkoani humo linawashikilia watu wawili(Waliowahi kuwa Mke na Mume) kwa tuhuma za kukutwa na kichwa cha Mwanamke nyumbani kwa mtuhumiwa wa kike katika Kata ya Buseresere Mwanaume...
2 Reactions
34 Replies
7K Views
Mkurugenzi wa Dart Vijana wako wamegoma ama mbona amna mabasi kabisa Nayanayokuja yanapitiliza bila kusimama kuna shida ganii Wazee wanadondoka vituoni kwann mnawatesa hawa wazee jamanj njoo...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Waliongea kwa sauti ya kawaida japo upepo ulipiga ila maneno yalisikika ingawa yana mawimbi. Walisikika wakisema " Huyu jamaa ni mchapa kazi kweli kweli lakini alivyo mkuu kuliko wote kazi...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Najua hili suala limeshajadiliwa sana na wadau mbalimbali ila naomba nitoe dukuduku langu. Wiki mbili zilizopita nilienda TCRA kufuatilia usajili wa Youtube channel yenye nia ya kuelezea...
0 Reactions
1 Replies
777 Views
Shule ya Sekondari ya wasichana ya John Baptist imefanya mahafali ya kidato cha nne na kushuhudia jumla ya wanafunzi 32 wakihitimu kidato cha nne. Shule hiyo pia ilitumia mahafali hayo kuzindua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Toka alivyopigwa chini kwa mambo ya Richmond aliamua kukaa kimya huenda aliachana na siasa kabisa. Hata kusikika uwa hasikiki nilikuwa nauliza kwa yeyote anaye jua hivi Karamagi yuko Tz hii kweli?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Yaani leo nimeshuhudia kwa.macho yangu mtu ana simu ya kitochi iko mfukoni.hana habari mpaka tunaulizana.mbona kuna.kitu kama.waya kinaungua ghafla jamaa anaona.moshi unatoka mfukoni.kutoa mfuko...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wananchi wakiangalia ajali ya basi la mwendo kasi lenye namba za usajili, T 967 DGV iliyohusishwa na ajali ya barabarani na gari dogo lenye namba za usajili T 584 DLA kwenye makutano ya Barabara...
4 Reactions
20 Replies
6K Views
Katika kile kinachoonekana baadhi ya watu kukosa hofu na imani kwa Mwenyezi Mungu, pamoja na kukiuka mila na desturi za Kiafrika, za kuheshimu wafu, watu wasiojulikana wamekuwa wakijihusisha na...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nimeona Tangazo la watu kujaza form halafu zitumwe kwenye email yenu ili watu warudishiwe gharama zao kwa kulipia chanel za bure kwa ving'amuzi vya azam,zuku na dstv sasa najiuliza hivi kwanza...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna watu ni maarufu sana usiku wanafanya kazi nzuri sana wanaitwa mapaluanja. Watu hawa hufanya kazi kama askari polisi ama askari wa Maliasili au uhamiaji. Inawezekana ni watoa taarifa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakati wakupata uhuru miaka ya 60 viongozi wengi wa nchi changa walikuwa wako kwenye uoga wa kupinduliwa. Suluhisho ambalo wengo walilichukua ni kujaza watu wa makabila yao au wa sehemu wanazotoka...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
Siku zote nguzo kuu inayoilinda Chadema ni umoja na mshikamano miongoni mwao , na hili ni jambo la kuigwa na kila kundi linalotaka kudumu milele. Hivi ninavyoandika uzi huu Vigogo wote wa Chadema...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana JF kwa wiki kadhaa sasa nimekuwa nikifuatilia taarifa za habari za TBC. Katika kuripoti chaguzi ndogo wamekuwa wakionyesha mikutano ya campaign za CCM tu huku wakitoa maelezo bila picha...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom