Kwani ni lazima unywe bia ?

Kwani ni lazima unywe bia ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,627
Watu wanalalamika sana eti bia zimepanda bei kutoka TZS 1,500 mpaka 1,700 ( na mahala pengine 2,000). Nawashangaa sana.

Ni lazima unywe pombe ? Pombe ni hitaji muhimu kwako ?

Kwanini usiache tu kunywa pombe ukawa unagida maji yako ya kawaida kwa afya yako ?

Pombe siyo muhimu jamani, tunywe maji tu ya kawaida!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shughuli zote za maendeleo ya nchi hii zinaendeshwa kwa kodi kwa kiasi kikubwa sana!

Mchango wa pombe kwenye kodi ni mkubwa sana!

Ukipinga watu kunywa pombe inamaana unapinga maendeleo sababu kodi itapungua!

Mimi nashauri tuendelee kuunga mkono juhudi za mheshimiwa rais, tunywe pombe tuchangie kodi kwa wingi!

Na wanywaji wote waseme Ameen!

- KANA -
 
Kwajinsi alivyo andika, alikua anataka kuanza kuleta habari za kwamba pombe inamadhara kwenye afya....tehteehh
Watu kama hawa ni rahisi sana kugundua kwamba hawapombeki, na kilevichao pendwa kinajulikana....tehteehh

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata bonta kaimba "wacha wana wanywe bia"
Hahahaha kilevi chao tunakijua bwana na hicho ndo sio kizuri
 
Wanapandishaje wakati kodi hawajapandishiwa ila ni TBL tu zimepanda serengeti ziko bei ya zaman
 
Maisha yana changamoto nyingi sana,yana mwanzo na yana mwisho,na starehe ni sehemu ya faragha kwa mwanadamu,ila kipato ndio kinachotutofautisha na wengine,sehemu zote za starehe duniani pombe ni kiungo namba moja...ikiwa utumii labda una matatizo ya kiafya,malezi au kipato hakiko vizuri
 
Back
Top Bottom