Habari wakuu,
Moja ya waliofariki MV Nyerere ni Ndugu au Jamaa wa karibu wa Mwl. Iddi Tlaghasi Hera, sifahamu Shule anayofundisha hapo Arusha,ila kama unamfahamu plz niPM namba zake. Marehemu...
Nimetonywa kuwa kiburi cha hawa maafisa wa serikali Leo kimekutana na kigingi huko Mwanza baada ya Mkurugenzi wa Habari na Maelezo Dr Abassi kuachwa solemba na Waandishi wa Habari.
Habari ambazo...
WANAWAKE wawili ambao ni mtu na shangazi yake, Kija Lushanga (70) na Pendo (40) ambaye jina la baba yake halikufahamika mara moja wamekutwa wamefariki dunia huku viungo mbalimbali vya miili yao...
Kwanza poleni watanzania wote kwa kufikwa na janga hili kubwa lililositisha ndoto nyingi za wana Ukerewe.
Tunapopiga kelele juu ya usimamizi mbovu wa kivuko je kwanini tunasahau waliofanya...
Nawatafuta jamaa zangu Ndg. Johnson Magawa, Godfrey Pallangyo na Pantaleo Zacheo(aka Mkangara) pamoja na George Kafuka nilisoma na kumaliza nao Astashahada ya Ufugaji Nyuki katika Chuo cha Nyuki...
Habàri wana JF. Kwanza nitoe pole kwa kila alieguswa na msiba huu mkubwa kwa Taifa letu. Pia nitoe lawama zangu kwa Aliesitisha Uokoaji eti kwa kuhofia giza.
Leo nimesafiri na Baba yangu mzazi...
Baada ya ‘ Mpendwa Mamlaka ‘ juzi kutoa ‘ Fumbo ‘ kwa Mwenzake kwa ‘ Kutupia ‘ picha ya Gari aina ya Benz KuuKuu / Chakavu ikiwa imekwama kwa Siku nne ( 4 ) sasa na kumtaka mwenye nayo akaichukue...
Wajuzi Naomba kujuzwa kuhusu utajiri,
kujikimu, kuwa na milioni kadhaa kwa akaunti, nyumba kadhaa, magari kadhaa, biashara kukunyookea, baada ya kusaka kwa muda
Ni baati
Ni mipangilio ya kazi...
Naomba msaada wa namna ya kupata zip-code, nilikuwa najisajiri kwenye website fulani nimeshindwa kuendelea next step sababu ya kukosa hiyo zip code....
My location Dodoma
Hapo vip!
Jana nilifanya muamala fulani wa kutoa pesa zangu kupitia PESAFASTA katika Bank ya NMB lakini baada Ya pesa kutoka kwenye account yangu Ya bank then nikapata sms Ya confirmation yenye...
Leo nilikuwa sehemu fulani ni ofisi ya serikali,nikawa naangalia kisanduku kimeandikwa ''SANDUKU LA MAONI''hivi kuna mtu kweli huwa anatoa maoni yeyote kwenye haya masanduku na kufanyiwa kazi?ni...
Habari wakuu,
Kwanza niwe muwazi kwamba sijui lolote kuhusu mambo ya ndani ya maji, hata ikitokea siku nikirushwa ndani ya maji nahisi nitateremka chini kama jiwe.
Niende kwenye mada au swali...
Waungwana nimekuja kwenu kutaka ushaur,nina binti amehitimu Form 4 na kwa bahati mbaya hakuchaguliwa kuendelea kidato cha 5 kama ambavo mimi nilivyotarajia.
Sasa basi nikiwa mzazi inaniumiza...
Soko la biashara ya nyama maarufu la 'malapulapu', limeshika kasi katika machinjio ya nyama Ukonga Mazizini jijini Dar es Salaam, baada ya wafanyabiashara wa Kichina kuanza kuinunua kwa wingi ili...
Watanzania bhana yaani hata Maziko bado na bado Miili mingine inaendelea Kutafutwa Ziwani tayari Watu ndani ya Saa 24 wameshatunga Wimbo ili kuja ' Kupiga ' Hela. Jamani ' sometimes ' muwe mnaona...
Habar za mda huu,
Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba...
Habari wana forum nimemsikia Rais akitangaza siku 4 za kitaifa za maombolezo.
Je, Sherehe za individuals au za makundi ie send off, kitchen party , wedding, kipaimara bado zitaendelea kama...