USHUHUDA JUU YA AJALI...!!

USHUHUDA JUU YA AJALI...!!

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,163
Reaction score
43,988
Aisee hakuna kitu kibaya kwenye maisha Kama kupata ajali maana nyingi hubadilisha kabisa maisha watu na kuacha Majonzi mazito...!! Nakumbuka mwaka 2016 siku ya sherehe ya Eid Elfitr aisee nilikuwa naenda Kawe kutokea mbagala si unajua mambo ya Beach tena sasa wakati gari ipo kwenye mwendo ghafla zile Tairi za mbele zilitokaa kabisaa pamoja na machuma yakeee aiseee nilikuwa nachezea simu Sikujua nini kilitokea ilaa kelele zilee zilikuwa ni balaa...kuja kuangalia Gari iliegemea Vile vimiringoti vya zege vya pembeni ya barabara likasimama...!! Siku ilee nkaamini kweli Mungu bado alikuwa anataka tuishi japo wapo walioumia kwa kujigonga gonga kwenye Machuma...

Je wew ushawahi nusurika ajali gani au kupata ajali gani na Ilikuwa Jee??? karibuni
WAPUMZIKE KWA AMANI WALIOFARIKI KWENYE AJALI YA MV.NYERERE
IMG_20180922_211121_179.jpg
 
Tairi ya mbele ya upande wa dereva ilipasuka nikiwa porini usiku sana. Nilijuta kusafiri usiku peke yangu.
 
Watu Huwa Tunatembea Tukiwa Marehemu.
 
Back
Top Bottom