Shirika la maendeleo ya Taifa NDC kuleta matrekta Kiteto

Shirika la maendeleo ya Taifa NDC kuleta matrekta Kiteto

JAMHURI

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2010
Posts
449
Reaction score
60
Shirika la maendeleo ya Taifa NDC linakusudia kuleta matrkta Kiteto kwaajili ya shughuli za kilimo

Lengo la matrekta hayo ni kutaka kurahisisha shughuli za kilimo wayani Kiteto ambapo ina wakulima wengi.

Hata hivyo imeelezwa kuwa muhitaji zana hiyo atatakiwa kuanza kulipa 25%, kwamba baada ya malipo atakabidhiwa kuanza kazi.

Akizungumza na madiwani wa halm ya Wilaya ya Kiteto Mkuu wa Walaya ya Kiteto Tumaini Magesa alisema Kiteto imeteuliwa kuwa moja kati ya Wilaya nchini zitakazonufaika na zana za kilimo.

Alisema pamoja na mambo mengine zana hizo zitasaidia pia kuongeza mapato ya nchi kwa wahusika kutozwa kodibya Serikali.

Kuhusu kilimo mkuu huyo wa Wilaya ametaka wananchi kulima katika maeneo yaliyotenwa kwa shughuli hizo.
 
Kiteto haihitaji matrekta tu, inahitaji zana nyingine nyingi za kilimo, hua natazama mwaka ambao mvua ikizingua kitu gani hua kinatokea? Watazame pia hilo ndo walete matrekta
 
Back
Top Bottom