Majanga ya moto yanayoteketeza mali pamoja na kusababisha uharibifu na hasara kubwa, sasa yanaonekana kuwa ni jambo lisiloweza kuzuilika.
Kila uchao kumekuwa kukiripotiwa majanga ya moto...
Zaidi ya asilimia 65 ya watoto wilayani Kisarawe wanalelewa na wazee, hali inayosababisha kukosa malezi ya karibu na kufanyiwa vitendo vya ukatili wa kijinsia kama kubakwa na kulawitiwa.
Takwimu...
Naona anahangaika sana na ufunguzi wa maghala ya chakula mimi nilifikiri hii ni kazi ya waziri wa kilimo sio waziri wa viwanda au hakuna viwanda vya kufungua ndo maana anaingilia kazi ya wizara...
Wao wanasema kilimo ni uti wa mgongo,na asilimia kubwa ya wananchi wao ni wakulima,lakini hawako tayari kuajiri maafisa kilimo ili wawasaidie wakulima wao.
Wanajua kuwa wakulima wao wakipata...
Diwani viti maalumu Kiteto, Mh Ester, (CCM) amemwaga chozi mbele ya baraza la madiwani Kiteto akielezea adha ya maji kata ya Loolera.
Mhe Ester alijikuta katika wakati mgumu wakati akitoa Taarifa...
Wadau nimekuwa nafuatilia sana ajira za Wizara ya afya na maendeleo ya jamii inayoongozwa na mh.Ummy Mwalimu.Wizara hii imekuwa inatoa ajira za madaktari manesi na watumishi wengine wa afya lakini...
Nimepata taarifa kuwa uokoaji umesimama katika Ziwa Victoria kutokana na giza kuwa kikwazo... Hii inatia simanzi kwani itasababisha hata wale walio hai wanaopigania uhai wao ndani ya maji muda huu...
Habari wakuu......
Jamani! Jamani! Jamani!...
Hebu chunguza katika jamii unayo ishinayo ...utagundua kunawatu wanaplan /wazo/mipango mizuri sana ya kimaisha ....ajabu hawawezi kuishi katika...
JINSI YA KUWAUA PANYA WENGI SHAMBANI AU MAJUMBANI
Wengi mmekua mkihangaika kumalizana na hawa jamaa hii ndo komesha yao twendeni :
Changanya mchanganyiko huu vizuri
Cement -Kilo 3
Unga wa ngano...
TAZARA, Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri Leo asubuhi kutoka Kitunda kwenda Gerezani walionesha kutofurahia kupitishwa chini ya Flyover hiyo mpya inayokadiriwa kuwa na urefu wa kilomita moja...
Kwako waziri wa maji ndugu mweshimiwa makame mbalawa tunaandika kwa machungu katika umoja wetu wananchi wa maganzo thidi ya hujuma zinazofanywa na viongozi wako uliwapa dhamana ya kusimamia sekta...
Nani mwenye masikio sikivu? Nani mtetezi wa wanyonge? Nani anajali? Nani mwenye uchungu na maisha ya makabwela? Nani ni nani?
Prof. PLO "We elect hyenas to take care of our goats and when the...
Habar za mda huu,
Nimenunua plot maeneo fulani hapa dar ila napata tabu jinsi ya kubadilisha jina ya mmiliki wa eneo, Ni hatua gani natakiwa nizifate ili niweze kubadilisha jina. Nina mikataba...
Asante baba leo ni siku nyingine,Nashukuru kwa pumzi na nguvu ulizonipa leo,naomba pia nifungulie na ridhiki yangu ili ata kile kidogo nitakachopata kinisaidie mimi pamoja na jamaa zangu.
Kuna...
Marko 8:36
Kwa kuwa itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?
(For what shall it profit a man, if he shall gain the whole world, and lose his own soul? )...
Nimejaribu kurekebisha tangazo hilo hapo chini maana sijui wenye lugha zao walituelewaje, huenda kapewa mwanafunzi wa form 4 aandike tangazo hili na je halikupita kwa wahusika ili walisahihishe...
Nimekuwa nikisikia sifa mbaya kuhusu mti jamii na mpango kuwa unapandwa maeneo ya nyumbani huleta mtafaruko ndan ya familia na pia kusababisha umauti kwa wanafamilia, je kuna ukweli wowote?
Kama kuna fursa ambayo Binadamu yoyote yule huwa anaipenda basi ni pale inapotokea ‘ bahati ‘ na akakutana na Kiongozi Mkuu wa nchi ( namaanisha Rais ) kwani kwa Kukutana nae tu ‘ mubashara ‘ huwa...
Mkuu wa wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, Mhandisi Tumaini Mangesa amewataka madiwani kutokuwa chanzo cha migogoro badala yake wawatumikie wananchi.
Mangesa ameyasema hayo wakati akizungumza na...
Uingereza. Kauli ya Rais John Magufuli kwamba watu wanaodhibiti uzazi ni “wavivu” imezidi kuzua mjadala ambapo gazeti la Daily Mail la Uingereza limehoji kwa nini nchi hiyo iendelea kuipa msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.