Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Umri wa Viongozi mbalimbali Dunia: Mahathir: 93 Elizabeth II: 92 Salman: 82 Khamenei: 79 Temer: 77 Buhari: 75 Museveni: 74 Duterte: 73 Trump: 72 Hasina: 70 Netanyahu: 68 Modi: 67 Putin: 65 Xi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Aulizaye ataka kujua: Mbona teuzi zote zinafanya na Rais, sas hii ya Government has appointed Adolf ... and not the President has appointed.......imekaaje /inakujaje APPOINTMENT OF EXECUTIVE...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maisha ya sasa ni maisha yanayobadilika kwa kasi sana.Pesa imekua suluisho na kipaumbele kikubwa katika maisha yetu ya kila siku. Ukija kwenye mapenzi ndio kabisaa hakuna Binti anaweza kukuelewa...
3 Reactions
219 Replies
19K Views
Akihojiwa katika kipindi cha BBC Swahili, Promota wa bondia Haasn Mwakinyo Rashid Nassor amesema bondia huyo amepata mkataba wa kupigana na mabondia watatu maarufu ambao ni Kell Brook, Amir Khan...
4 Reactions
126 Replies
18K Views
Hizi channel hazionyeshi toka jana jee tatizo ni kwangu tu ama kwa wengine?
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wahariri salaam, Nawajulisha kuwa muda mfupi uliopita Neville Meena amefanyiwa vipimo nchini Afrika Kusini na madaktari wanaendelea kumpatia tiba. Madaktari wamesema tatizo alilokuwa nalo Meena...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Hbr wadau, Jana (jumapili)nimepita kwenye junction flyover ya Tazara nikitokea ubungo to Mbagala via Mandela road baada ya kusikia fly over imeeanza nikajua mambo mpeto, maana huwa natumia...
10 Reactions
54 Replies
6K Views
Kama kuna kitu kilichonitoa ushamba Mara ya kwanza kuingia jiji la Mwanza ilikuwa kuziona nyumba zilizo juu milimani,nikajiuliza mlijengaje,watu hawawezi kudondoka hasa watoto,nikajiuliza au watu...
0 Reactions
1 Replies
750 Views
Hii ilikuwa ni 1977 mwanza nikiwa prim school nikiwa kama mtemi na group langu Ali maarufu kama watemi wa kambi siku moja tukiwa wote na kundi letu la watu 8 si nikachokoza jamaa lilikokuwa nalo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, Naandika nikiwa na donge/uchungu rohoni , ni hivi kuda mdada anayejiita Fey tanzania instagram. Huyu mdada amekuwa akionyesha mambo ya kitandani hadharani katika acc yake ya insta iitwayo...
3 Reactions
73 Replies
11K Views
Mkurugenzi mtendaji wa halm ya Wilaya ya Kiteto, Tamim Mahmoud Kambona amesema, baadhi ya madiwani wamekuwa kikwazo kwake kutekeleza miradi ya maendeleo ya wananchi Kambona ameyasema hayo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii album unaweza isikiliza kila wakati na usichoke. Jamaa kweli ni No1 International praiser. Hail to the king, You'll be my song, God of Abraham, Painter of the sky. aaah Don noma.
2 Reactions
2 Replies
686 Views
Wana JF Kwa mwenye uzoefu ama ufahamu na Oxnyxcoin naomba anipe maelezo kuhusiana na hii kitu
0 Reactions
3 Replies
970 Views
Waziri mwenye dhamana hii tunakuomba ufuatilie hili, kwa ujumla hali sio nzuri tunakuomba uingilie kati leseni zinazotolewa na serikali kupitia ofisi yako hazitambuliki hapa Babati.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nilitegemea kuona helkopta za hao jamaa zikizunguka eneo la tukio katika kile kivuko kilichozama pale Ukerewe, na pengine kwa msaada wao kile kivuko kingegeuzwa jana ileile na watu zaidi...
10 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba msaada wa makadirio ya gharama za jengo kama hili, Batiu nitatumia za kawaida sio hizo za kisasa bsana
0 Reactions
5 Replies
975 Views
KUNA PERSECUTION NA PROSECUTION BOBI Wine alipohojiwa na Al-Jazeera akiwa Marekani hivi karibuni alisema alichofanyiwa Uganda kilikuwa Persecution kuliko Prosecution. Naam, Persecution ni Mateso...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mv Nyerere iwe case study. Poleni sana wana mwanza. ``Moderator msiunge Uzi, Tuitafakari nchi yetu similar na utayari wake katika kupokea kizazi kipya" Embu twendeni Deep kidogo na hoja ya Rais...
1 Reactions
7 Replies
960 Views
Habari wakuu. Katika pitapita zangu za kimaisha nmejikuta nkipata experience nyingi sana kutokana na changamoto za kimaisha, nimejifunza mengi pia katika umri huu wa miaka 20's. Wakati mwingine...
1 Reactions
0 Replies
747 Views
Maja kwa moja kwenda katika mada. Ingawa ccm ndio wamekuwa wakillaamikiwa juu ya wagombea wanaohama vyama vya upinzani, ila mchawi mkubwa ni vyama vya upinzani hasa chadema. Sijaona mbunge wa ccm...
1 Reactions
4 Replies
807 Views
Back
Top Bottom