Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Natambua juhudi zinazofanywa na serikali katika kuboresha barabara zetu. Najua ni jukumu linalogharimu fedha nyingi sana. Wazo langu la leo ni kuangalia jinsi gani tunaweza kuipunguzia mzigo huu...
2 Reactions
50 Replies
6K Views
Wakuu Jf! Nawasalim! Ingawa labda ni mapema mno kuongelea jambo hili wakati huu wa msiba wa Mv Nyerere; kwa upande mwingine ni mahali pake kwa mujibu wa hoja iliyopo. Hoja yangu inahusu wenyeviti...
0 Reactions
0 Replies
575 Views
Ukiwa una mtext mtu au unampigia mtu jitahidi wewe unaye piga simu au ku text ndo uanzishe mada ...unakuta mtu ana kupigia simu alafu anakuambia niambie what the meaning of this ,kama huna la...
9 Reactions
26 Replies
2K Views
Moto uliozuka usiku WA kuamkia Leo alfajiri mida ya SAA 8 usiku umeteketeza Magari 8 katika kituo cha mafuta cha OIl COM kilichopo Boko magengeni Barabara ya ( bagamoyo road ) Chanzo cha moto huo...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
wakati dunia ikihimiza demokrasia na haki za binadamu waafrika tunakuja na ubunifu tofauti kabisa, wakati mchina anafanya jitihada za kuitawala tena Africa viongozi wetu wanajikita kwenye kutawala...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mkazi wa kijiji cha Burunga wilayani Serengeti, Chora Samson (27) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya kumbaka mama yake mzazi. Mbele ya Hakimu...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
English Kiswahili KiswahiliEnglishKiswahili Malalamiko | Anuani Zetu |Maswali ya Mara kwa Mara |Barua pepe | [http://kilwadc] Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaOfisi ya Rais Tawala za Mikoa na...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Hapa mheshimiwa waziri amekosea. kwa mfano mikoa iliyopo hatarini kupata ebola ni ile ya kagera na kigoma iliyopo mipakani lakini matembezi yatafanyika dar wakati wale kule wanahitaji elimu sana...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Poleni sana watu wa Ukerewe. Mbunge wenu alilisemea mapema swala la kivuko cha MV NYERERE mapema sana,lakini nasikitika aliowaambia wana masikio ila hawasikii na wana macho ila hawaoni Zamani...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Mfanyabiashara, Masse Uledi (41), amekiri kumiliki simu tisa na laini nane zilizotumika kujipatia pesa kwa udanganyifu Sh. milioni 3.6 kama dhamana ya mkopo kutoka Focus Vikoba-na kutumia majina...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Sasa ni saa 7 na dakika tano usiku nafungua Internet ndio nastushwa kuona kuwa kumetokea ajali mbaya ya kuzama kivukoni, binafsi natoa pole nyingi kwa wafiwa na waliookolewa/walionusurika...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Madiwani wa halm ya Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, wamekosoa utaratibu wa Serikali kutoa wa Fedha za miradi kwenye halm. Akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani Kiteto, Lairumbe Mollel...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kufuatia sakata la mikataba ya wafanyakazi wachimbaji wadogo asilimia kubwa wamejikuta wako nje ya ukuta hii kupelekea kuzorota kwa uzalishaji wa madini hayo adimu, Vyombo husika ni wakati muafaka...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Umeshawahi kwenda kijijini na kukutana na classmets wako wa shule ya msingi ambao hawakufamikiwa kuendelea na shule kutokana na matatizo mbalimbali ( uchumi, kufeli, ugonjwa, familia nk ) ...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wewe tangu mdogo uliambiwa kuwa komaa mwanangu, soma sana utapata maisha mazuri. Ukaamua kukomaa na shule, ukafunga vioo kwa kuwaona rafiki zako wasio komaa ni "wajinga" ukala kitabu kweli kweli...
7 Reactions
30 Replies
3K Views
Huruma ya Mkuu wa nchi inahitajika mahala pengi hasa ukizingatia mazingira ya mkosaji. Familia zinapata shida wazazi wanapoachishwa kazi. Ni kweli wafanyakazi waliokuwa wamefoji vyeti vya shule...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa Anna Mghwira amesema Wagonjwa 26 wamelazwa katika hospitali ya TPC huku eneo hilo likitengwa mahususi kwa kuhudumia wagonjwa hao Wagonjwa wengi wanatoka Wilayani Simanjiro huku...
4 Reactions
55 Replies
6K Views
Ee bhana eeh hapa duniani huwaga kuna nyakati ngumu sana ambapo unaweza tamani kiama kitokee utoweke kuliko fedhedha au hali flani ya aibu na maumivu yanayokukuta . Leo nimekumbuka tukio moja...
12 Reactions
84 Replies
11K Views
Hatua zaanza kuchukuliwa na wizara ya Afya
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa muda mrefu kituo hiki matangazo na picha haziridhidhishi hata kidogo. Mikwaruzo ya picha na kigugumizi cha sauti vinatawala kwenye taarifa ya habari mara kwa mara. Jirekebisheni
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Back
Top Bottom