Hapa sipo kuzungumzia matukio bali nipo kuzungumzia maana ya hili tamko.
Nikijaaliwa nitakuwa nachagua miongoni mwa tabia mbaya na kuleta maana zake kwa ufupi,huku nikiachia wadau watiririke mikasa iliyowakuta kutokana na tabia hizo mbaya.
Lengo ni watu kujizuia na kufanya au kutenda tabia hizo chafu na zisizofaa mtu kusifika nazo.
Maana ya UMBEA
Ni kitendo cha kupeleka maneno,kauli,mazungumzo - mazungumzo ambayo watu huchukia kuenea kwake au kutawanywa kwake.
Lengo la watu kufanya UMBEA
Kawaida ya watu huwa hawafanyi jambo bila malengo,na miongoni mwa malengo ya WAMBEA ni kumuudhi au kumvunjia heshima,kumuumiza,na kumharibia yule afanyiwaye UMBEA.
Pia wale WAMBEA huwa wanafanya umbea mtu fulani ili wao wajipendekeze kwa wale wanaowapelekea UMBEA huo.
Umbea ni katika tabia chafu na mbaya mno,tabia ambayo inatakiwa kukemewa vikali na kuwapiga vita wale wote wafanyao UMBEA.
UKIKANYWA KANYIKA.