Kwanza poleni watanzania wote kwa kufikwa na janga hili kubwa lililositisha ndoto nyingi za wana Ukerewe.
Tunapopiga kelele juu ya usimamizi mbovu wa kivuko je kwanini tunasahau waliofanya manunuzi ya vivuko vibovu.
Kwa sasa tuna mv Bagamoyo kivuko kibovu kabisa ambacho hakijafanya trip hata moja. Je siku wanajeshi waliokabidhiwa wakipinduka nacho nani alaumiwe?
Tuna vichwa vya treni ambavyo Rais Magufuli kwa maneno yake mwenyewe alisema ni vibovu, Je siku ikitokea ajali ya treni nani alaumiwe?
Tunapolia na kuomboleza tukumbuke pantoni la kigamboni,mabasi ya mwendokasi na treni ya Mwakyembe zinavyoendelea kujaza watu.
Poleni nasema poleni.