Binafsi nilichukua mkopo kwa miaka miwili tu ya mwanzo kati minne niliyofanikiwa kuisoma pale UDsm na kuhitimu mwaka 2012.
Sikuwahi kuangaika na Ajira , nilijikita kwnye biashara za familia hadi...
Nakumbuka kabla Brown hajawa Prime Minister na Kiongozi wa Labour Party..Labour were almost going to a defeat. Waingereza walishapoteza muelekeo na Opinion polls almost zote zilikuwa zinaonyesha...
Eng I Kamwelwe akisaidia kufunga bolt na nuts za kudhibiti reli ya chuma.
Lakini ameniangusha.
Na mimi ni mkandarasi mdogo.
Wallahi angekuwa mfanyakazi wangu kafanya hivyo ningemtimua kazi...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa humu jukwaani kwetu JF.
Jana mida ya jioni alikuja classmate wangu wa secondary mdada Beautiful Nkosazana akitaka nimsaidie kufanya booking ya ndege kwa maana...
tunafahamu kua shoga ni jina analoitwa mwanaume mwenye tabia za kike au kuingiliwa kinyume na maumbile, vipi kwa mwanamke anaye ingiliwa kinyume na maumbile tunaweza kumwita shoga pia? ushoga ni...
Kwanza ni magari ya majeshi haya hayafuati taratibu kabisaaa njia ya kwenda yanarudi yenyewe kila mda eana haraka kama wanaharaka si wangeanza safari mapema zaidi wanaboa maana huwa wanalela folen...
Jana nimemuona Dr. Mwigulu Nchemba. Kachoka sana na maisha. Inaonesha kuondolewa Uwaziri kumempelekesha sana japo bado ana Ubunge wake !
Amepotea kwenye ulingo wa siasa haraka sana tofauti na...
Benki Kuu ya Tanzania imewataka wananchi kuheshimu fedha ya Tanzania kwani ni moja ya alama ya taifa.
Kauli hiyo imekuja kufuatia matukio ya hivi karibuni ya baadhi ya wananchi kutoziheshimu...
Hodi wana JF! Hivi karibuni kulikuwa na thread kuhusu Forever Living. Wachangiaji wengi waliponda sana hii kitu.
Lkn nimeambiwa kuwa jana jioni baada tamasha pale Jamhuri Stadium Dodoma, JK...
Hapa hautasikia matamko ya polisi wala BOT sababu huyu ni kijana wa WCB vijana wapendwa chiniya mlezi wao untouchable RC
Wale wa clouds fm ni kwamba waliingia 18 rasmi za bwana DAB na watakiona...
Kwasababu za Kimaadili na Kulinda Usalama na Uhai wake sitoweza kumtaja ila leo niliamua tu Kujikita kutaka kujua zaidi Katiba ya Nchi inasemaje hasa juu ya Majukumu ya Askari wa Jeshi la Polisi...
Wahudumu wa afya ( manesi) huwa ni wakali sana, kuanzia sura zao mpaka vitendo vyao kwa wagonjwa na familia zao .
Manesi wa kike huwa hawapendi sana kuishi under control ya mtu ( hasa mwanaume )...
Habari wakuu wa JF,
Niko na swali kidogo, mhe Magufuli aliweka jiwe la msingi la the second phase of sgr, thats the section from Morogoro to Makupotora, na hio ilikuwa mwezi wa 3 yaani march...
Watu wanne wanaoshikiliwa na polisi wilayani Kyela jijini Mbeya kwa tuhuma za kukutwa na bastola, cheni ya kuchezea karate, mfuko uliojazwa nyuki, 'radio call' na simu tano za mkononi wanaendelea...
Zoezi lilikuwa 'Gumu kidogo', ila kwa umakini niliokuwanao, zoezi limeisha salama!
Nasubilia majibu ya oparesheni yangu hiyo ambayo itakuwa ya kihistoria kuwahi fanyika.
Nitakuja na Picha pamoja...
1.Majungu ndani ya taasisi
2.Uonevu wa viongozi wa ngazi za juu dhidi ya watumishi wa ngazi za chini
3.Kukurupuka katika maamuzi pasipo kufanya uchunguzi wa kina dhidi ya watuhumiwa
4. Viongozi wa...
Habari zenu wakuu
Naombeni msaada wa maelekezo kuhusu kupanda ndege maana Nina mawazo mno
Kiufupi sijawahi panda ndege tokea nizaliwe sijui chochote! Nasafiri mwenyewe kutoka Kilimanjaro aiport...
Leo wametoa msaada wa vifaa vya kupima kilevi kwa madereva,vifaa hivyo vimekabidhiwa kwa Kamanda wa kikosi cha Usalama Barabarani....Hivi Polisi wamekosa vya kusaidiwa hadi mpeleke hivyo vidude...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro,inayashikilia magari matatu kwa ajili ya uchunguzi juu ya uhalali wa umiliki wake likiwamo la mfanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Moshi Haika Mawalla .
Magari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.