Lodge maeneo ya Msasani

Lodge maeneo ya Msasani

lokiyo

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Posts
1,953
Reaction score
884
Habarini wadau...naulizia kama kuna mtu anayefahamu lodge yoyote maeneo ya msasani au maeneo karibu na mayfairplaz

........Mrejesho...hatimaye wakuu yule demu niliweza kumla...ilipofika mchana kwy saa 6 hv nlmtumia meseji akasema sawa..basi nilitoka mwenge na bajaji mpka mitaa ya karbia na ofisini kwake..Nikampgia then akatoka nje..coz ilikua lunch tyme..tukaondoka na bajaji hadi lodge....kiukweli nilifaidi xana ingawa muda ulikua mdogo coz ni lunch tyme then anarud job kwake..aftre that nikamrudisha mpka job kwake
 
Nenda opp tanesco uswahili kuna gesti moja ya kiswahili ina baa njee
 
Habarini wadau...naulizia kama kuna mtu anayefahamu lodge yoyote maeneo ya msasani au maeneo karibu na mayfairplaza.
Mayfair Hapo pia kuja hotel Nzuri tu, achana kwenda kulala msasani uswahilini jikunje ulipie Hapo Mayfair Hotel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom