Utaacha kwa muda gani?mkuuYaani sitokula samaki yeyote anaevuliwa ziwa victoria maana nitakuwa na maombi maalum ya kuwaombea ndugu jamaa na marafiki waliofariki. Amen.
🙂 nilifikiri utakuwa na hofu kama waliyokuwanayo kipindi cha MV Bukoba, watu waliogopa kula samaki hasa sangara eti walihofia sangara kula mizoga ya binadamu.Yaani sitokula samaki yeyote anaevuliwa ziwa victoria maana nitakuwa na maombi maalum ya kuwaombea ndugu jamaa na marafiki waliofariki. Amen.
Tatizo vichwa vyenu mnatumia kufugia nywele tu.Kuna lizee limeenda ukerewe juzi na kupeleka mkosi
Pole sanaKama wiki mbili zijazo
Yaani sitokula samaki yeyote anaevuliwa ziwa victoria maana nitakuwa na maombi maalum ya kuwaombea ndugu jamaa na marafiki waliofariki. Amen.
Mkuu sisi watu wa huku ziwani tunashuhudia mengi sana hatuoni ajabuAsante mkuu vipi wee utakula samaki hao?
😀Kama ulikuwepo mawazoni mwangu vile
Kuna lizee limeenda ukerewe juzi na kupeleka mkosi
Hahahahahah hatariiiiiiiiiiiiiiiiiii dangeriKuna lizee limeenda ukerewe juzi na kupeleka mkosi
We ndo ulikua unambeba juzi makondakta juujuu eeehe?Tatizo vichwa vyenu mnatumia kufugia nywele tu.
wewe ni mpuuzi kabisa.
Ohooo !! na wewe hutakula sangara ? hivi bado wanapimwa kwa rula ?Kuna lizee limeenda ukerewe juzi na kupeleka mkosi
Imani za kishirikinaYaani sitokula samaki yeyote anaevuliwa ziwa victoria maana nitakuwa na maombi maalum ya kuwaombea ndugu jamaa na marafiki waliofariki. Amen.
Sasa uwezo wa kivuko ni kubeba watu 100, nataarifa za awali zinadai kilikuwa kimebeba watu 400, bado kuna mtu anakuja anadai eti kuna jamaa kaacha mkosi.We ndo ulikua unambeba juzi makondakta juujuu eeehe?