Pendekezo: Watumishi wa Umma wafanye kazi mpaka Jumapili

Katika kuitikia wito wa HAPA KAZI TU napendekeza ofisi zote za umma ziwe wazi kuhudumia wananchi mpaka jumapili. Ili kufikia mapinduzi ya viwanda. Nawasilisha.
Nakubaliana ña ww mkuu inatakiwa kuna kuwa ña shifti kama viwandani tu
 
Kama kuna maslahi bora tutachapa kazi hadi jumapili usiku na mchana mkuu
 
Back
Top Bottom